Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
Nimewaza kwamba huu ni mtego aliwekewa maana kwa jisni scenario ilivyo nahisi wa south wamemiwekea mtego .Pstor huyu ni mkongoman na wasaouth awataki kabisa watu kutoka mataifa maengine ya afrika kuwa juu yo ,mfano wamemtengenezea bushiri jungu mpka katolewa sasa nadhani ilikuwa ni huyu kabakia sababu ukiangalia pastor alikuwa anaendelea na ibada mara akaambia nje kuna mwili ulikuwa unapitishwa ila kufika maeneo haya ukaanza kupumua, so pastor akaamua kutoka nje so baada ya tukio hili wasouth waliiomba serikali ndio mana SBC waliamua kwenda Mortuary kuuuliza kwamba je kuna mwili ulikuwa huku wakakataa wakasema hamna ,so hii nahisi ilikuwa mtego na wamefanikiwaWewe hilo ndo linakufanya uone ni nabii wa uongo?? Je kama muumini ndo kaamua kujitafutia umaarufu??
Sent using Jamii Forums mobile app