Afrika hatukumjua shetani

Afrika hatukumjua shetani

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,722
Jamii ya watu wa Afrika kabla ujio wa wageni kutoka mabara ya Asia,Amerika na nk na kabla ya kurithishwa tamaduni za ughaibuni ilikuwa haijui habari ya adui wa Mungu.

Wa Afika wakiamini yupo muumbaji wa ulimwengu na hana adui.

Mababu zetu walikuwa wana mila,desturi na imani zao ambazo zilikuwa haziyumbishwi,walikuwa wanaishi kwa tamaduni na imani hizo ambazo wakiamini yupo Muumbaji wa kila kitu amabaye ni Mungu.
Hawakuwa wanajua kabisa habari ya adui wa Mungu ambaye ni Shetani.

Mababu zenu walikuwa wakiomba mvua hapo hapo mvua inanyesha,sasa hivi omba uone itakavyochelewa au kuja kwa madhara au sio kwa wakati hii ni kwa sababu tulimpatia adui muumbaji na kupunguza imani zetu.

Mababu zetu walikuwa wakishafanya makosa katika maisha yao wakiamini wao wenyewe ndio wamechuma hayo matokeo yatakayojitokeza na kutubu kwenye maeneo wanayo amini kumlilia muumbaji wa ulimwengu na kuwapa wakiombacho kwa wakati kwa imani kubwa sana,wakifanya kila namna kurekebisha makosa ili hali mbaya isijirudie kwa kuomba wanacho kiamini na sio kusema wamefanya makosa kwa sababu Shetani kawapitia.

Afrika ndio bara liliobarikiwa na Muumbaji wa ulimwengu kwa vitu mbalimbali vyenye thamani na vitu adhimu hupatika sana Afrika hii ni kwa sabubu tulikuwa hamtujui adui wa muumbaji wa ulimwengu.

Afrika tuliletewa kitu kipya kutoka kwa wageni kipindi cha utumwa,kuwa yupo Shetani ni adui wa muumbaji wa ulimwengu,walikuwa wana maana yao na imetuhamisha kwenye mila na tamaduni za watu wa Afrika.

Ukifanya makosa jua wewe mwenyewe ndio unamsukumo na sio shetani.
 
Ni kweli kabisa we have been given the wrong interpretation mixeup with vain imagination ona sasa tunavohaha kila kitu kitokacho huko eti ndo original hata barakoa utaskia zilizoundwa hapa sio zilotoka huko ndizo mpk tutaporudi ktk asili yetu full ndipo tutatake control ya maisha yetu na wanaogopa ndo mana kila kukicha kutuletea mabalaa kuturudisha nyuma but u know what they're sitting on the time bomb tushaanza kuamka ndugu
 
sasa hivi tunajifukiza mausha yanaenda wazungu wanakesha maabara.
 
Back
Top Bottom