Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ilipeleka misaada huko Syria

Uturuki wana misaada ya kutosha sasa tu focus na Syria πŸ‡ΈπŸ‡Ύ ndugu zangu huko wameonekana Warusi, wairan, wairaq na Algeria tu
 
nchi ya uturuki ni miongoni mwanchi zinazo jiweza zaidi afirika wanata kupewa pole tu kutoka kwetu
Uturuki inajiweza wapi sasa, Turkey imepewa bailouts na IMF, Qatar wamewapa mikopo mpaka walapatiwa currency swaps deni lilipoongezeka ,inflation kwao ilifika 70% plus, wale ni ghost giants, walikuwa juu ila sasa ni ombaomba tu Kama siye
 
Burundi katuwakilisha, ametuma wasaidizi
 
Msaada wa kuwapa waje huku kama wakimbizi... zamu yao sasa πŸ˜…πŸ‘πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…