DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,998
na hapo bado tunataka tulipwe pesa za uchafuzi wa mazingira kwasababu tumeyachafua na kukata miti hovyoAfrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.
~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu
~ Lebanon imepeleka watu
~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa
~ China imepeleka watu (waliojitolea)
~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa
~ Urusi imepeleka watu na madawa
Afrika tuna tatizo gani?
Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.
JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Tunachojua ni kupokea na sio kutoa[emoji3][emoji3]Viongozi wa afrika ni wabinafsi mno
Hii Sasa ni wivu [emoji3][emoji3]Kuna kidada kimoja kinatembea na hao waturuki wanaojenga reli ya sgr
eti leo nmeona kimeweka hii status kwenye whatsaap yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2509271
Serikali yao inadai hili tetemeko litaathiri zaidi ya watu milioni 10Yatokee huko huko usiombee yatokee huku, nyumba 6000 si mchezo.
Mtu kajenga kasebule na vichumba vhake viwili kwa miaka 7.. Leo kwa sekunde kadhaa kako chini na kila kitu kimefukiwa humo humo..
Mungu tunusuru sisi.
Wenzetu watarudi kwenye maisha ya kawaida haraka mnooo.Serikali yao inadai hili tetemeko litaathiri zaidi ya watu milioni 10
Hadi sasa wasio na makazi ni watu 150,000
Wataenda, hili janga madhara yake ni ya muda mrefu hivyo muda badoHadi sasa Iran pekee ndo kaenda, wengine wamekaa kimya
Wanasaidia nchi za Africa.Nikutake radhi kaka usiwaseme ndugu zangu wa JWTZ kua wamekaa hawana kazi!!!Unajua undercover ngapi ndugu zangu wa JWTZ wanafanya kwa ajili ya kusaidia watu sehemu mbalimbali duniani????Vijana Wengine wamepoteza mpaka maisha yao kulinda amani ya wengine kwa kujitolea kwa mioyo dhabiti!!!Usiwazungumzie vibaya ndugu zangu wa JWTZ!!!!Sawa ndugu yangu
Shetani hana nguvu kiasi hicho.. Ni kazi ya MunguNdio sasa najua earthquake imetokea Uturuki. 6000 people dead? Hii kazi ya Shetani.
Inategemea na aina ya msaada!!!Kuna vitu wanakubali na kuna vitu hawawezi kukubaliWanasaidia nchi za Africa.
Sisi waafrika hatuwezi kusaidia wazungu? Au hawataki msaada wetu
Tupo tayari kutoa msaada wowote. Ila ndo tusaidiwe kufika hukoInategemea na aina ya msaada!!!Kuna vitu wanakubali na kuna vitu hawawezi kukubali
Demi unataka kutoa msaada kwa uturuki ucjali nenda hapo ubalozini kwao kama upo DSMTupo tayari kutoa msaada wowote. Ila ndo tusaidiwe kufika huko