Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Hivi mkuu ni kweli hawana kazi?
Kila kitu ni mipango nafikiri watakuwa wanatafakari namna gani ya kusaidia. Kama Nchi hatuja wahi kukaa kimya kwa matatizo yanayo kumba nchi marafiki
 
Wanaija wanasemaje? au pesa zote za umma wameshatapeli na kwenda kula bata majuu, wacheki pia misri na bondeni SA bila kuwasahau jirani zetu kunyalanda maana wao wana uchumi mkubwa.....
 
Nikutake radhi kaka usiwaseme ndugu zangu wa JWTZ kua wamekaa hawana kazi!!!Unajua undercover ngapi ndugu zangu wa JWTZ wanafanya kwa ajili ya kusaidia watu sehemu mbalimbali duniani????Vijana Wengine wamepoteza mpaka maisha yao kulinda amani ya wengine kwa kujitolea kwa mioyo dhabiti!!!Usiwazungumzie vibaya ndugu zangu wa JWTZ!!!!Sawa ndugu yangu
 
Wanaija wanasemaje? au pesa zote za umma wameshatapeli na kwenda kula bata majuu, wacheki pia misri na bondeni SA bila kuwasahau jirani zetu kunyalanda maana wao wana uchumi mkubwa.....
Nigeria hakuna cash muda huu
 
Hawana msaada wowote ule kwenye hili swala
 
Nikutake radhi kaka usiwaseme ndugu zangu wa JWTZ kua wamekaa hawana kazi!!!
 
Undercover ya nioko
 
BREAKING: Turkey says three thousand personnel have come from other countries to assist in rescue and support effort
 
Watusaidie usafiri tukasaidie kushuhudia jitihada za uokozi.
Nimeona umeandika kuwa Ukraine amepeleka msaada, Vipi Urusi amepeleka msaada?
Maana nimeona tu Urusi inamuomba Israel ikawasaidie syria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…