Africans are "misplaced human beings" in this planet

Mleta maada ni msomi koko.Alitakiwa aandike baadhi ya waafrika kama yeye sio waafrika wote.Wako akina Dangote,Akina BAKHRESA,Akina Mengi na watu kama mimi tunajitambua na hatuna sifa hizo alizozitaja za baadhi ya hao waafrika
 
Mkuu unaonekana mtu wa kupenda sifa sana
 
Ukombozi wa fikra unaanza na wewe mwenyewe unavyojichukulia.....na hapo ndipo ulipoanzia utumwa wa wa Afrika....
 
Mleta maada ni msomi koko.Alitakiwa aandike baadhi ya waafrika kama yeye sio waafrika wote.Wako akina Dangote,Akina BAKHRESA,Akina Mengi na watu kama mimi tunajitambua na hatuna sifa hizo alizozitaja za baadhi ya hao waafrika
Hapa siongelei utajiri bali naongelea uwezo wetu sisi Waafrika kumudu mazingira tunayoishi.

Hao matajiri unaowataja utajiri wao ni matokeo ya kutumia teknolojia ya mtu mweupe kuzalisha bid
dhaa wanazotengeneza katika viwanda vyao na kuziuza.

Tazama mfano huu:Malaria ni ugonjwa unaopatikana zaidi Africa na Waafrika ndio tunaathirika zaidi na ugonjwa huu.

Swali ni je,dawa ya kutibu Malaria iligunduliwa na Mwafrika?Walioweza kugundua namna ugonjwa huu unavyoambukiza(mode of transmisssion) ni Waafrika?Malaria ingekuwa haina dawa, Tanzania ya leo ingekuwaje?

Kwa mfano huo tu,nikisema Waafrika tumeshindwa kuyatawala mazingira tunayoishi bali tuna-survive kwa msaada wa watu kutoka mabara mengine nitakuwa nakosea?

Mitishamba gani leo hii inatibu kipindupindu?Kipindupindu kingekuwa hakina dawa, leo hii bara hili lingekuwa na watu?

Tukubali ni Mungu ndio alipanga iwe hivi na si kosa letu.
 
Mkiambiwa mko sawa na wale wa Serengeti mtabisha?
 
Ibambasi soma hapa utanielewa na kukubali ukweli japo ni mchungu.
 
Sisi tutaenda kuishi kwa raha mbinguni
 
Mitishamba gani leo hii inatibu kipindupindu?Kipindupindu kingekuwa hakina dawa, leo hii bara hili lingekuwa na watu?

Samahani kipindupindu ni ugonjwa wa wazungu ndio maana unatibika kwa dawa za wazungu
 
kabla wazungu hawajaanza kuja kwetu,hapakuwa na malaria wala kipindupindu,tumeish miaka yote kabla tukiumwa na kujitibu kwa tech zetu
 
kabla wazungu hawajaanza kuja kwetu,hapakuwa na malaria wala kipindupindu,tumeish miaka yote kabla tukiumwa na kujitibu kwa tech zetu
Wengi wenu mnabisha ila huenda baadhi yenu mlizaliwa kwa upasuaji(surgery).
 
Mzee naona husomi sana juu ya historia ya watu weusi. Kumbuka Misri ya kale ni ya watu weusi ambao baadhi ya mabaki yao ni hawa wahaveshi na wairaqw wa hapa Tanzania. Wao walikuwa na kia aina ya sayansi ambalo ndio chimbuko la sayansi nyingi na nyingine hata hatujafikia. Kadhalika na Wanubi ambai pia walijenga mapiramidi kama ya Misri na bafo yapo mpaka leo. Pia nikujulishe kuwa mtu tajiri kuliko wote kutokea duniani ni mfalme Mussa Kanan Munsa wa Mali. Alikuwa na utajiri mkubwa wa dhahabu kuwahi kutokea. Alienda hija na msafara wa watu 4000 wakati hao wazungu unaowaabudu walikuwa hawana chochote.
 
Samahani kipindupindu ni ugonjwa wa wazungu ndio maana unatibika kwa dawa za wazungu
Africa ni sehemu muafaka sana kuishi. Mazingira ya ulaya ni magumu sana kwa mwanadam kuishi. Kipindupindu,malaria,polio.....yote hayo yalianzia huko kwao. Na viliwatesa sana.
Nionavyo mimi ni kwamba mazingira yao magumu mno, ndiyo yaliyowasukuma kutafuta ufumbuzi wa jinsi ya kukabiliananayo
 
Kuugua kipindupindu maanayake ni kuwa umekula kinyesi cha binadamu tena kibichi. Mnamo karne ya 18 huko marekani ktk miji mikubwa watu walikuwa wanakufa kama panya. Walipata shida sana
 
Africa ni sehemu muafaka sana kuishi. Mazingira ya ulaya ni magumu sana kwa mwanadam kuishi. Kipindupindu,malaria,polio.....yote hayo yalianzia huko kwao. Na viliwatesa sana.

Na wao Wazungu walipokuja huku Ndio waliotuletea hayo magonjwa sasa ndio wanajifanya vinara wa kutuletea dawa na kutuuzia

Walituletea ukoloni na maradhi halafu huyu mleta mada kibarua wa wakoloni anawasifia hapa kwamba bila wao tungekufa kwa maradhi.Yaani maradhi watuletee wao halafu huyu kibarua wa wazungu analeta mada ya kuwasifia na kuwapuuza waafrika?Anaacha kusifia waafrika kuwa tulikuwa mbele mno kwa immune system na madawa yetu kiasi kuwa hayo maradhi yao Afrika tulikuwa hatuna hadi walipoyaleta kutoka kwao kupitia wazungu waliokuja ambao walikuja na hayo maradhi na hizo dawa zao.Wametufanya watumwa wa hayo maradhi yao na hizo dawa zao.Wametuachia umaskini kwa kuwa mapesa mengi yanatumika kununua dawa zao za maradhi waliyotuletea ambazo zingetumika kwa mambo muhimu mengine ya maendeleo

Mleta mada hajielewi namshauri akipata nafasi akasome kitabu cha HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA -bY WALTER RODNEY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…