thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
- Thread starter
- #61
Katika suala la mavazi kila mtu anamtazamo wake,mtu anawezakua na mavazi unayodhani hayafai ila tabia na roho yake ikawa njema,ila mwingine akawa anavaa huko kunakoitwa kwa heshima na tabia yake ikawa imeoza,sioni seriously, effect katika mavazi.
uvae nusu uchi afu unatabia njema nifafanulie?