venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
na sijui kwa nini wanahisi kwamba wanawake wote tunafanana tabia? akikutana na aliyejichubua, anayechuna buzi basi wana-generalize hizo tabia kwa wanawake woteNilitaka kumuuliza ana uhakika kama hao identity yao ni "african women"?
Kwa sababu inawezekana anaongelea subset ya african women iliyo ignorant, akawa implicate "african women" wote.