African Women, Tatizo ni Nini?

African Women, Tatizo ni Nini?

thinky

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
2,121
Reaction score
267
Wana MMU hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanatamani kuwa wa kizungu?

Kwanini wanaweka nywele bandia ,kuzifuga zao wanashindwa?

Wanajichubua wawe weupe ,je watakuwa wazungu?

Nguo za kubana maanake nini kwani ukiva kistaarabu unapungukiwa na nini?

Asili yenu ya kiafrika mnamwachia nani ,mbona mnajishusha?

Kuweni natural black is beauty tuwaonyeshe wazungu mnajikubali sio watumwa


Rasta nywele za wahindi, wachina, waarabu


Lipshine made from aborted babies

Cosmetics cause skin cancer
 
^^
Pengine ndio wanaume wanaoonekana kuwashabikia!
^^
 
Hii kitu ishaongelewa sana humu. Kwangu mimi, anayejichubua, kujipodoa kuliko kiasi, ni kwamba hajitambui tu. Mbona tupo wengi wenye natural na black beauty zetu
 
Hii kitu ishaongelewa sana humu. Kwangu mimi, anayejichubua, kujipodoa kuliko kiasi, ni kwamba hajitambui tu. Mbona tupo wengi wenye natural na black beauty zetu

thanks mama africa
 
Utumwa wa kutojiamin kuwa ni wazur
Hili limekuwa ni tatizo kwa kweli kansa ya ngozi inatuandama wanawake
Natural inapendeza sana
 
hakuna waafrika weupe?

Na je, una hakika wanawake wote wa kiafrika wanataka kuwa kama wazungu?

Unaongelea nguo za kubana? Nguo hizi hizi zilizokuja wakati wa ukoloni kama kingereza? Yale magome ya miti yalikuwa yanafunika hadi wapi vile?
 
kila mtu na interest zake

kuna interest zingine ambazo mtu huzipenda kutokana na upeo wako wa kufikiri kumbe ni mbaya mf.kujipodoa ni gharama ,why usiinvest kwenye maendeleo kuliko kemikali usoni?
 
wanaofanya hivyo hawjitambui mwanamke ambaye yuko asilia anapewa heshima kubwa sana
 
kila mtu na interest zake

kuna interest zingine ambazo mtu huzipenda kutokana na upeo wake wa kufikiri kuwa mgumu kuelewa kumbe hizo interest ni mbaya mf.kujipodoa ni gharama ,why usiinvest kwenye maendeleo kuliko kemikali usoni?
 
Back
Top Bottom