venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
Unaongelea swala la kiasi...safi sana...Tunatakiwa kuwa na kiasi katika kila jambo...
kujiremba ni jambo lisiloepukika kwa mwanamke. Hakuna mwanamke asiyetaka kuonekana mrembo. ila urembo una kiasi, na sio kupitiliza. kama nywele ya bandia, basi nitatafuta inayofanana na nywele zangu kidogo. na kwa kuwa wanume wengi hawaelewi mambo ya wigs na weaves, asipokushika kichwani anaweza asiweze kujua kama ni zako au lah. tatizo wengi wanatumia vitu ambavyo ni so fake, maana products nzuri zina gharama pia. mfano mimi venine, my skin is black, leo nikavae wigi la gold, halafu lrefu hadi makalioni. hicho ni kituko