African Women, Tatizo ni Nini?

African Women, Tatizo ni Nini?

huoni kwa kutembea nusu uchi ni kukosa maadili na kushusha hadhi ya jensia yenu? bibi.com

Kwa wanaovaa hivyo wala hawaoni kama inawashushia hadhi as long as wanaweza kudraw attention ya wanaume. wao wanachoangalia zaidi ni wanaume hata mimi mwanamke mwenzake nikimsema ataona namuingilia. cha muhimu ni wanaume kuwaignore.
 
na watoto wanajifunza nini huoni ndo watakuwa sugu kuliko mana wanakuwa ?

elimu ni ndogo huoni uenezaji wa maradhi utaongezeka na kupelekea kupoteza nguvu ya taifa,kuhamisha mawazo kwenye ngono na kuacha kuliinua taifa? bibi.com
 
Last edited by a moderator:
kila mtu yuko huru kufanya anachotaka; as long as haimdhuru mwingine....

Ujichubue, uvae nywele za maiti....ni wewe/ ni mimi...

Mbona hata wazungu wana vituko vyao and no body cares...

Pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Ukisema cha nini mwenzio anasema atakipata lini...usiende mbali ni wangapi humu wanamu admire Wema, Kim K, Beyonce? Are they 100% natural?
 
na watoto wanajifunza nini huoni ndo watakuwa sugu kuliko mana wanakuwa ?

elimu ni ndogo huoni uenezaji wa maradhi utaongezeka na kupelekea kupoteza nguvu ya taifa,kuhamisha mawazo kwenye ngono na kuacha kuliinua taifa? bibi.com

watoto wako wafundishe zuri na baya na wewe mwenyewe uwe mfano mzuri. uenezaji wa maradhi na mawazo ya ngono yataisha tu wanaume wakiweza kujizuia na kuwaignore wavaa vimini. lakini kujiendekeza ati huwezi kujicontrol kama mnyama kila ukiona paja lazima ulifuate basi ndio watazidi kuvaa uchi. ignore them basi ni kinga tosha na wakijua wanaume hawako weak kwao watajiheshimu na mavazi ya staha. kwa watoto wanajifunza kutoka kwa baba na mama zao.
 
kila mtu yuko huru kufanya anachotaka; as long as haimdhuru mwingine....

Ujichubue, uvae nywele za maiti....ni wewe/ ni mimi...

Mbona hata wazungu wana vituko vyao and no body cares...

Pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Ukisema cha nini mwenzio anasema atakipata lini...usiende mbali ni wangapi humu wanamu admire Wema? Is she natural?

unaweza ukaendelea ni mtazamo tu naona ujinga unazidi kuwa sugu.
 
watoto wako wafundishe zuri na baya na wewe mwenyewe uwe mfano mzuri. uenezaji wa maradhi na mawazo ya ngono yataisha tu wanaume wakiweza kujizuia na kuwaignore wavaa vimini. lakini kujiendekeza ati huwezi kujicontrol kama mnyama kila ukiona paja lazima ulifuate basi ndio watazidi kuvaa uchi. ignore them basi ni kinga tosha na wakijua wanaume hawako weak kwao watajiheshimu na mavazi ya staha. kwa watoto wanajifunza kutoka kwa baba na mama zao.

Ni sawa naconclude jamii hiyo ya ngono ni kilio kwa taifa .
 
Hii kitu ishaongelewa sana humu. Kwangu mimi, anayejichubua, kujipodoa kuliko kiasi, ni kwamba hajitambui tu. Mbona tupo wengi wenye natural na black beauty zetu

Nilitaka kumuuliza ana uhakika kama hao identity yao ni "african women"?

Kwa sababu inawezekana anaongelea subset ya african women iliyo ignorant, akawa implicate "african women" wote.
 
african women can be a total of even 3 african women

where did i implicate and write all

na siyo inawezekana ndo namaanisha kwa maandishi na si kuongea
 
Kila mtu na mwili wake hata aufanyaje haimuhusu mwingine na anahaki ya kuufanya aupendavyo yeye mana ni wake.
 
wana mmu hivi kwanini wanawake wa kiafrika wanatamani kuwa wa kizungu?

Kwanini wanaweka nywele bandia ,kuzifuga zao wanashindwa?

Wanajichubua wawe weupe ,je watakuwa wazungu?

Nguo za kubana maanake nini kwani ukiva kistaarabu unapungukiwa na nini?

Asili yenu ya kiafrica mnamwachia nani ,mbona mnajishusha?

Kuweni natural black is beauty tuwaonyeshe wazungu mnajikubali sio watumwa

Rasta nywele za wahindi,wachina,warabu wafu

Lipshine made from aborted babies

Cosmetics cause skin cancer

Wanawake wengi wa kiafrika,karibu wote shida yao moja tu,hawajiamini. Hawajiamini kama wao ni wazuri bila nyele bandia na mikorogo. Wakati mwingine unajiuliza hivi wanawake wa kiafrika wamelaaniwa?!
 
Wanawake wa kiAfrika wazuri sana ila sijui kwanini wanapenda kujinanga
 
tunabadili muonekano sio kila
siku twende kilioni tu ebooo
na mbona mnawehuka na vya bandia kama hampendi?
 
african women can be a total of even 3 african women

where did i implicate and write all

na siyo inawezekana ndo namaanisha kwa maandishi na si kuongea

Ukisema "waafrika ni wezi" una implicate kwamba waafrika wote ni wezi. Kama vile wana DNA ya wizi.

Kama.umeibiwa na.waafrika waliokosa ajira na kipaji, mateja wanaotafuta kupona, hao wizi wao hauunganishwi na uafrika, bali na mambo.mengine.

Ukweli kwamba kuna wanawake wa kiafrika wasiotumia mkorogo na wenye natural hair unaonyesha tatizo hapa kama lipo sinuafrika, bali sababu nyingine.

Ukiangalia uafrika utakuwa unakosea.

By the way hata wazungu wana tan ngozi zao by sunbathing and using tanning booth, so this business of not liking ones natural appearance is not a monopoly of african women.
 
ni sawa ila wale theres something behind to maintain there skin waafrika wanaiga especially urban ladies
 
Hilarious, "maintain there skin" huh?

Of course there is something behind.

Isn't there for the African ladies?

Unaweza kulaumu wanawake kumbe wanaume wanalipa mahari kubwa kwa wanawake weupe.
 
Back
Top Bottom