Shanny
Senior Member
- Apr 29, 2011
- 180
- 50
Haya yote yanasababishwa na wanaume.
Always mwanamke aliyejipamba na vitu vyote vinavyosemwa vya kizungu ndiyo wanaosifiwa na kuonekana wa kisasa zaidi.
Laiti kama wanaumbe wangependa wanawake wenye asili yao basii kusingekua na wanawake wanaojichubua.
Sasa hivi mwanamke mwenye hips na aliyejazia ndiyo anaitwa kifaa ndiyo maana wasionavyo wanatafuta njia mbadala.
So hayo mabadiliko yakianza kwa wanaume basi wanawake watafuata tuu.
Bidhaa inawekwa dukani pale ikionekana wanunuzi ni wengi kama hakuna wanunuzi haitauzika so haitawekwa dukani.