MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
- Thread starter
- #81
hiliAnaweza akaharibu DNA yake kwa vidonge lakn akishafanya hivyo hawezi tena kuzaa. Kumbuka kuwa pundamilia hawezi kumzaa punda ingawaje wote ni punda according to their nature of genetic make up. Every creature bears the offsprings originated from their species.
In biology living organisms may have the same genus but different species. Only species specify where a certain living creature belongs.
Hili somo ungeweka uzi wake mkuu. Nimevutiwa Sana.
Sina hakika japo, Michael Jackson hakuwa na mtoto wan kuzaliwa katika njia ya kawaida, yaani MTU mke na MTU mke kujamiiana. Inasemekana alipandikiza mbegu kupata mtoto. Hii sio sababu kweli, maana akibadilisha race akawa kiumbe mpya kabisa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app