African woman looking white! What went wrong with us?

African woman looking white! What went wrong with us?

Kuna Waafrika Weupe na Weusi
Kuna Waarabu Weupe na Weusi
Kuna Wahindi Weupe na Weusi
Sijawahi kumwona Mwarabu au Mhindi Mweusi akiichukia ngozi yake nyeusi na akafanya juhudi ya kubadilisha ngozi yake iwe ya rangi nyeupe.
Wote wanazipenda na kuzithamini rangi zao za asili.
Tatizo lipo kwa Mwafrika Mweusi, kuna baadhi ya Waafrika weusi hawauthamini weusi wao.
Wanalazimika kuharibu ngozi zao ili ziwe Nyeupe.
Hii ndio tofauti ya Waafrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vema sana. Africa wengi kwa kutofikiri sawa sawa tunaangamia na haya makemikali ya wazungu.
Mfano kuna lotion Moja inatengenezwa malaysia kama sikosei ila tunajua malaysia kwa asili ni weupe ngozi zao na bandiko lao linasema 3 days whitening lotion. sasa unajiuliza wanalenga kumkarabati nani awe mweupe kama wao ngozi zao ni nyeupe?? unaona kabisa mlengwa ni mwafrica mweusi cuz wanajua ndio wasiojitambua.
Pili kuna madawa ya kuongeza makalio na maziwa toka china, wapi ulishamuona mchina ana matako/matiti makubwa alioongeza kwa madawa?? hapa napo tupo sisi waafrica tunaohangaika kutafuta uweupe badala ya maarifa!
 
Ukiondoa suala la kujichubua,je mtazamo wetu kiujumla juu ya ngozi nyeusi na nyeupe ukoje? Maana nasikia kuna makabila ambayo mabinti weupe huozwa kwa mahari kubwa kwa sababu ni weupe tofauti na mabinti weusi,wengine wanaogopa kutembea wakati wa jua kali kwa kuhofia kuwa weusi sana.

Ile haindoi hali halisi ya mtu kwani mwanamke utajichubua lakini mwisho wa siku unakuja kuzaa mtoto mweusi kama Msudanii wa Kusini. Sasa hapa raha iko wapi?
 
Ile haindoi hali halisi ya mtu kwani mwanamke utajichubua lakini mwisho wa siku unakuja kuzaa mtoto mweusi kama Msudanii wa Kusini. Sasa hapa raha iko wapi?
Mbona kuna waafrika weupe wa kuzaliwa na huzaa watoto weusi,ndiyo maana nasema hakuna anayejichubua ili awe mzungu kwamba hadi uzao wake nao uwe weupe,mtu anajichubua yeye kama yeye tu ili awe mweupe.na suala la uzungu wala uchina.
 
Unaweza ukawa mweusi na usijichubue ila ukawa unaiga tabia za kishenzi za wazungu.
 
Ni kweli waafrika hutujitambui. Hatujui nguvu zetu za asili na sifa zetu kuu kwa vile hatujisomi na kujielewa. Tukizitambua na kujifahamu strength yetu tutaenda mbali. Wengi hatujui why tupo tulivyo ndo maana watu wanataka wawe kama wazungu au waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa kuna vidonge mwanamke akimeza anakuwa mweupe kabisa na pia watoto anaweza kuzaa weupe kabisa meaning DNA inabadirika pia. Is this true?.
NB. kuzaa watoto inadepend na DNA za baba pia lakini kwa maelezo ya yule mtu it seems kile kidonge kina-affect pia genetic codes.
 
BASI KWA KASI HII WAAFRICA TUTAISHA.
 
Tunarudi kulekule tu,nachojua hao wanafanya hivyo ni kwa sababu ya urembo tu na si kwamba wanataka wawe kama race fulani au wanadharau race yao.

Unajua haya yote yanakuja kutokana na ukweli kwamba mitazamo yetu juu ya hizo races zengine ndio hufanya tuone hao wanaojibua na kuvaa mawigi hufanya hivyo et kufanana na wazungu au sijui wanadharau race yao.
Tatizo lako huwa unabisha mpaka kwenye vitu ambavyo haviitaji mabishano .... Taifa lolote lile ambalo linaitawala dunia jambo moja wapo ambalo huwa linafanya ni kuhakikisha linairithisha dunia mila na tamaduni zao " kisha wana hakikisha wana fanya propaganda dhidi ya mataifa mengine kuhusu yale yanayopatikana katika taifa lao ... propaganda moja wapo katika hizo ni kuhakikisha jamii ya watu wao inaonekana bora kuliko jamii ya watu wengine " ..... baada ya hapo sasa utaanza kuona jamii za watu wengine zikianza kuiga hizo tamaduni za hilo taifa kuiga life style nzima ya jamii hiyo .....

Ndio maana leo hii kuna watu katika jamii yetu ni weusi na wamekuwa wakitukanwa na kufedheheshwa kwaajili ya rangi waliyo nayo ..kwa sababu baadhi ya watu wajamii hiyo wanaamini kwamba watu weupe wazungu ndio race bora duniani
 
Mwanamke mweusi kuzaa mtoto mweupe inawezekana, lakini si kwa kumeza vidonge. Kuna teknologia inayoitwa CRSPR, ambayo inatumika kuondoa genetic code nyeusi na kupachika code nyeupe.

LAKINI, tahadhari inahitajika kwa sababu huyu mtoto mweupe akiishi kwenye nchi zenye jua kali, amaweza kupata saratani ya ngozi. Kwa hiyo ya nini kuchezea kazi ya Mungu????

Halafu akina dada, ma-blonde wa kiafrika wanachosha sana! Yaani sura iwe ya kiafrika, lakini ngozi nyeupe na nyewele za kidhahabu, unadhani unatembea na kinyonga! Acheni hizo!!!!!!
 
NIMESOMA MAELEZO YA HEARKY, NIMEONA KABISA JINSI TULIVYFABYIWA PROGANDA YA KUJIONA HATUNA MAANA ILA WEUPE NDIO WA MAANA. YAANI SIKU IZI UKIWA NA MWANAMKE 50% YA MWILI WAKE NI FAKE.
 
Mwingine huyo....
20190115_074031.jpeg

Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMESOMA MAELEZO YA HEARKY, NIMEONA KABISA JINSI TULIVYFABYIWA PROGANDA YA KUJIONA HATUNA MAANA ILA WEUPE NDIO WA MAANA. YAANI SIKU IZI UKIWA NA MWANAMKE 50% YA MWILI WAKE NI FAKE.

Mkuu, hii feki-feki za wanawake inawafanya wanaume wazeeke vibaya!

Ni nadra sana kumuona mwanamke mwenye urembo wa kiasili. Siku hizi, mrembo ana kila kitu ya kubandikwa au kurekebishwa - nyewele za kihindi, makope ya kitaiwan, makucha ya kivietnam, ngozi ya kijerumani, matiti za kibrazil, makalio ya kichina, - wacha nisiende mbali zaidi. Unajiuliza - WHERE HAS THE REAL WOMAN GONE???? Huyu hapa ni mwanamke kweli au ni tanganzo la kimataifa?
 
Back
Top Bottom