MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
Hawa dada zetu waliokuwa weusi na kujigeuza weupe kama wazungu, ni wakuhurumia tuu, kwa sababu japo wanapendeza kwa muonekano, lakini mambo ya mwilini, pia yanabadilika..
Ina maana muafrika lazima awe mweusi?
Ukiondoa suala la kujichubua,je mtazamo wetu kiujumla juu ya ngozi nyeusi na nyeupe ukoje? Maana nasikia kuna makabila ambayo mabinti weupe huozwa kwa mahari kubwa kwa sababu ni weupe tofauti na mabinti weusi,wengine wanaogopa kutembea wakati wa jua kali kwa kuhofia kuwa weusi sana.Hapana,ila tunalo tatizo la kujichubua ndani ya jamii ya kiafrica (wake kwa waume),ambapo wengi wanaamini ili uwe mzuri lazima uwe mweupe!!
NIMESIKITISHWA HASA NA UAFRICA MPYA WA KUKAA HATA NYWELE SASA WAMEHAMIA ZA RANGI YA AKINA MADONA.??Hawa dada zetu waliokuwa weusi na kujigeuza weupe kama wazungu, ni wakuhurumia tuu, kwa sababu japo wanapendeza kwa muonekano, lakini mambo ya mwilini, pia yanabadilika..
Niliwashauri dada zetu wajivunie rangi zao za asili, tena hata hao ma black, kuna types mbili
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
P
SIO LAZIMA ILA PIA SIO LAZIMA UJICHUBUE NAMNA HII NA KUWEKA MANYWELE YA AKINA MADONA. BAHATI MBAYA HATUWEZIKUWA WAZUNGU KWA KUWEKA MANYWELE NA KU-CREAM NGOZI ZETU.Ina maana muafrika lazima awe mweusi?
Mi sidhani kama wanafanya hivyo ili wawe kama wazungu,nachojua hufanya kama urembo tu et wawe wazungu.SIO LAZIMA ILA PIA SIO LAZIMA UJICHUBUE NAMNA HII NA KUWEKA MANYWELE YA AKINA MADONA. BAHATI MBAYA HATUWEZIKUWA WAZUNGU KWA KUWEKA MANYWELE NA KU-CREAM NGOZI ZETU.
TUNAJITAHIDI KUWA KAMA WAZUNGU KWA NJE LAKINI AKILI ZETU NA MATENDO YETU YANATUTAMBULISHA USHAMBA NA ULIMBUKENI TULIONAO.
NAAMINI UNAWEZA KUWA MZURI KWA RANGI YAKO NA NYWELE ZAKO ZA KIAFRICA. UKISHINDWA BASI, HATA NYWELE ZA RANGI INAYOAKISI UAFRICA NAZO SHIDA?
Hiyo inaitwa Devide and rule mkuu ".... huwezi kuona athari yake kwa macho bali mpaka pale utakapo anza kutumia akili ipaswavyo "Mi sidhani kama wanafanya hivyo ili wawe kama wazungu,nachojua hufanya kama urembo tu et wawe wazungu.
Labda kwa sababu ya utoto wako.
Tunarudi kulekule tu,nachojua hao wanafanya hivyo ni kwa sababu ya urembo tu na si kwamba wanataka wawe kama race fulani au wanadharau race yao.Hiyo inaitwa Devide and rule mkuu ".... huwezi kuona athari yake kwa macho bali mpaka pale utakapo anza kutumia akili ipaswavyo "
Hapo mantiki yake ni kwamba Mtumiaji haioni thamani ya race yake ndio mana anashindwa kuikubali na hatimae anatamani kuwa na muonekano wa race nyingine tofauti na ile inayomuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa suala la kujichubua,je mtazamo wetu kiujumla juu ya ngozi nyeusi na nyeupe ukoje? Maana nasikia kuna makabila ambayo mabinti weupe huozwa kwa mahari kubwa kwa sababu ni weupe tofauti na mabinti weusi,wengine wanaogopa kutembea wakati wa jua kali kwa kuhofia kuwa weusi sana.
Sure. Nami nimeona mapema sana kwa jicho la tatu kama ulivoona.Hiyo inaitwa Devide and rule mkuu ".... huwezi kuona athari yake kwa macho bali mpaka pale utakapo anza kutumia akili ipaswavyo "
Hapo mantiki yake ni kwamba Mtumiaji haioni thamani ya race yake ndio mana anashindwa kuikubali na hatimae anatamani kuwa na muonekano wa race nyingine tofauti na ile inayomuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli waafrika hutujitambui. Hatujui nguvu zetu za asili na sifa zetu kuu kwa vile hatujisomi na kujielewa. Tukizitambua na kujifahamu strength yetu tutaenda mbali. Wengi hatujui why tupo tulivyo ndo maana watu wanataka wawe kama wazungu au waarabuMkuu unaona kama unarudi pala pale tu kama nilivyosema awali?ikiwa jamii /makabila flani huoza mabinti wao weupe kwa mahari kubwa tofauti na weusi,hii ina maana kuwa wanaamini weupe ndio uzuri wenyewe,ama sivyo?na imani hiyo ndio inasababisha tuwe na tatizo la watu kutaka kujichubua ili waonekane wazuri.na ukiangalia vizuri utagundua kwamba hili tatizo la watu kujichubua si la Tanzania pekee,ni karibu Africa yote,na si kwa raia wa kawaida tu,mpaka viongozi wa juu kwenye nchi zetu,wasomi na wasio wasomi.
Shida yetu kubwa sisi Waafrica ni kwamba hatujithamini,hatujielewi ,hatujikubali ,hatujitambui wala kujiamini,tunafanya mambo mengi kujitukana wenyewe tu.