mtatifikolo
Member
- Feb 9, 2008
- 43
- 7
Niliwahi kutembelea UN, HQ pale New York. Nikauliza taratibu za kupata kazi UN. Sifa ya kwanza ni Advanced Degree ambapo 1st Degree lazima iwe 1st Class ama Upper 2nd with Honours. Ajira hizo huzigawa kwa Zones mbalimbali.
Hii sio kwa sababu hakuna wenye first class, na ukiangalia kwenye admission criteria huwezi kukuta criteria hiyo.The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.
Japo sijui vigezo rasmi vya hizo ranking, UDSM ingestahili kupata a better ranking kama sio baadhi ya matatizo ya kujitakia yanayosabaishwa na wahadhiri wetu.
Nitatolea mfano Kitivo cha Sheria, UDSM. Kwa miaka zaidi ya 15, kitivo hicho hakijawahi kutoa 1st Class ya Sheria. Wakati nikiwa UD, kuna baadhi ya wanafunzi were really bright tuliwategemea 1st Class lakini wapi. Niliwahi kuwauliza wahadhiri kulikoni, nilijibiwa in short wanafunzi wa siku hizi, hawasomi.
Conclusion binafsi nimeifikia kuwa japo kunawanafunzi wazuri wangeweza kupata 1st Class lakini walimu wanawabania. Matokeo yake ni chuo kinachofelisha. Kukosekana kwa 1st Class kumepelekea hakuna Mtanzania aliyekwenda kusomea advanced degree sheria kwenye the best law universities for the past 15 years. Hivyo kuchangia kudharaulika kwa LL.B ya UDSM. Kwenye EAC. Zamani the best law students walitoka UDSM, now Makerere na Nairobi wanamwaga ma 1st Class na kupeleka vijana Yale kiasi cha kufanya LL.B yetu isahaulike kwenye medani za kimataifa. 1st Class 3 za mwisho za LL.B, UDSM ni Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Dr. Hamoud Majamba. Naamini kumetokea vijana wazuri tuu ila maticha waliwabania na wataendelea kuwabania kisa kwanini wao wapate?.
Niliwahi kutembelea UN, HQ pale New York. Nikauliza taratibu za kupata kazi UN. Sifa ya kwanza ni Advanced Degree ambapo 1st Degree lazima iwe 1st Class ama Upper 2nd with Honours. Ajira hizo huzigawa kwa Zones mbalimbali. Tanzania iko The Eastern & The Horn of Africa. Tuko kundi moja kwa nchi za Afrika Mashariki, Somalia, Ethiopia na Eritrea. Asilimia kubwa ya nafasi hizo zimeshikwa na Wasomali wakifuatiwa na Wakenya, Waganda, Waeritrea, Waethiopia na sisi Watanzania ndio wa mwisho.
Nikamuuliza mwenyeji wangu, mtu wa foreign hii inakuwaje?. Au inamaana Watanzania ni vilaza?.Akanijibu hapana akasema tatizo la Watanzania hawaombi hizo nafasi zinapotokea.
Utafiti wangu ukagundua kila zinapotokea nafasi, wenzetu wanazitangaza hizo nafasi kwenye local media zao kwa raia wao na kuwaencourage waombe, sisi foreign wanazibania kupeana na matokeo yake wanakosa na wenzetu wanazijaza, kisa kwanini wewe upate. Japo nafasi hizo ziko open kwenye net, pnp yenye ufs foreign office ina matter sana.
Katika kubaniana academically, tunajikuta tunashusha rank za vyuo vyetu.
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?Its not fair kusema flatout lie. Nimetolea mfano kitivo cha sheria, UDSM, nimekuambia for more than 15 hatujatoa 1st class ya sheria. The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?
Huu ni uthibitisho Mh. Chenge ni kichwa!. LL.B (Hons)sio mchezo!.Katika tovuti ya Bunge inaonesha alisoma Harvard,
Education
Harvard University LL.M 1975 - MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972 - GRADUATE
Mkwawa High School-Iringa A-Level Education 1967 1968 HIGH SCHOOL
St. Mary's Junior Seminary-Nyegezi Mwanza Secondary Education 1963 1966 SECONDARY
St. Pius Minor Seminary-Makoko, Musoma Primary Education 1959 1962 PRIMARY
Zagayo Primary School Primary Education 1955 1958 PRIMARY
Source: http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=30&vusername=GUEST")
Pasco just forget about hizo first class maana sio factor kabisa kuingia kwenye hizo law school na hazitakusaidia chochote kwenye admission za Havard or Yale,nakushauri uangalie applications requirement za Harvard law school kuliko kuja hapa na kutoa information ambazo sio za kweli,they dont care about African universities na wengi wanaamini ni substandard na kuna ukweli kiasi fulani,kitu kitakachokusaidia kuingia kwenye hizo law school ni standardized test zao,sawa na vitu GMAT or GRE kwa business schools
Thanks Koba for this information. Ndio maana hapa tuko Jukwaa la Elimu. At least umeniwezesha kutenganisha facts na falacies kuhusu hizi best law schools. Angalau sasa nimeelewa kwa nini Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Dr. Hamudi Majamba, licha ya kuscore !st Class UDSM, waliopt graduate program zao else where not Yale or Havard. Thanks again.Pasco just forget about hizo first class maana sio factor kabisa kuingia kwenye hizo law school na hazitakusaidia chochote kwenye admission za Havard or Yale,nakushauri uangalie applications requirement za Harvard law school kuliko kuja hapa na kutoa information ambazo sio za kweli,they dont care about African universities na wengi wanaamini ni substandard na kuna ukweli kiasi fulani,kitu kitakachokusaidia kuingia kwenye hizo law school ni standardized test zao,sawa na vitu GMAT or GRE kwa business schools
what do you know about gmat and gre mr koba kimanga? wewe sana sana unachojua ni toefl tu...lol
what do you know about gmat and gre mr koba kimanga? wewe sana sana unachojua ni toefl tu...lol
Asante Mkuu, nimemuona Rugemeleza Nshala. Hii thread imenifungua sana macho. Kumbe Yale na Havard zinaingilika bila 1st Class. Nimeelimika. Thanks.Pasco: "Havard Law School is the 2nd best after Yale. Pia tunaWatanzania waliosoma Yale.Ni enzi zile, those good old days. Mimi nilizungumzia the past 15 years."
Tafadhali tazama tovuti hii chini, halafu scroll down to UDSM Law alumni Bw. Nshala:
Project on Justice, Welfare and Economics
Huyo ni mmoja tu. Wapo kibao waliokwenda huko na vyuo vingine vyenye heshima duniani kutoka hapa UDSM.
Watu wajitume tu ili wapate nafasi ktk vyuo bora dunia, explore opportunities.
Its not fair kusema flatout lie. Nimetolea mfano kitivo cha sheria, UDSM, nimekuambia for more than 15 hatujatoa 1st class ya sheria. The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.