African Satellite World and Sat Gear

African Satellite World and Sat Gear

Yaani hazijapatikana kwenye list hapo
Zinaonekana mbona kwenye list bob, inaonekana ulizipata kwa mara ya kwanza labda kama zimepotea kwa sasa. Na hizo zinatakiwa zionyeshe kwa kisimbuzi ulichonacho.
 
Zinaonekana mbona kwenye list bob, inaonekana ulizipata kwa mara ya kwanza labda kama zimepotea kwa sasa. Na hizo zinatakiwa zionyeshe kwa kisimbuzi ulichonacho.
Zipo kwenye list,
 
Zipo kwenye list,
Basi hiyo HB0 au ¢nn unatakiwa ukiichagua ikupe picha kama hivi pia uitumie hiyo hiyo kuset dish vizuri, signal quality yake ikivuka 50 channel nyingine zitakuja
IMG_20190414_183830.jpg
 
Back
Top Bottom