African Satellite World and Sat Gear

Yap. hiyo ndo step 1 maana ukisha ipata 906 IS20 inakuwa very close,
bahati mbaya tu ni kuwa kwenye 906 imebaki TVM ambayo transponder yake ni weak ukilinganisha na akina ITV ambao walisha hama tangu last week so itabidi upambane
tbc1, 2 na safari bado wapo
 
Gsky V5 plus
Mkuu sifa zilizopo kwenye Gsky v5 plus ndio hizo hizo iliyonazo Gt media v9 nimekuuliza hapo Is 20 wewe unapata channels ngapi? Maana hata etv ni scrambled lakini ilifungua nilipokua kwenye KU,

Rakims
 
Mkuu sifa zilizopo kwenye Gsky v5 plus ndio hizo hizo iliyonazo Gt media v9 nimekuuliza hapo Is 20 wewe unapata channels ngapi? Maana hata etv ni scrambled lakini ilifungua nilipokua kwenye KU,

Rakims
Here you go.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-06-07-21-15-03-035_com.android.browser.jpg
    95.4 KB · Views: 52
  • Screenshot_2019-06-07-21-15-46-173_com.android.browser.jpg
    52 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…