African pilgrims blamed for the Hajj stampede

African pilgrims blamed for the Hajj stampede

Daladala tu hapa watu wanagombana wakati wa kupanda ije kuwa huo Mecca
Waafrika ustaarabu zero
 
Saudia should close the so called Mecca. Let it be in the history.
Kila mwaka watu wanakufa, ina maana hao hawaoni?
 
Mkuu BUBE nina vijiswali vidogo.

Mosi ikiwa hakuna Mungu wa waAfrika au Mungu mweusi ni kwanini tuna mwabudu kwa kutumia lugha ya Kiarabu ?.

Pili ikiwa Mungu yuko kila mahali mbona tunalazimishana kwenda Makka ?.

Tatu ninachojua Mungu na Shetani wako Makka ndio maana tuna kwenda kumtwanga mawe shetwani na kumwabudu au kuhijji Makka ukienda Manyara au Serengeti kuhijji Mungu hatambui ukienda Zanzibar ukamtwanga mawe shetwani shetwani haumii wala havuji damu.

Ipo haja ya sisi waAfrika kuanzisha ibada zetu zitakazotumia lugha zetu.

Hakuna Mungu wa Waafrika ama Mungu a weuzi, ama wazungu. Mungu ni mmoja na ni wa wote. Isipokuwa kuna miungu ya mataifa na makabila. Tatiz o ni pale watu wanapodhanni wanamfata Mungu sehemu fulani wakati tunasema kuwa Mungu ni Omnipresent....yupo kila mahali na wakati wote. Pia wapo wanaodhani kuwa unaweza kumkaribia Mungu wakati fulani wa mwaka na sio wakati mwingine. Natamani hijja ingekuwa muda wote wa mwaka ili kupunguza mrundikano na vifo visivyo vya lazimaa
 
Last edited by a moderator:
Daladala tu hapa watu wanagombana wakati wa kupanda ije kuwa huo Mecca
Waafrika ustaarabu zero

Hadi juzi,Iran imepoteza watu 155......je Iran ni nchi ya Kiafrika???Wahusika wenyewe walichemka kujipanga wasifanye jusrtification.Katika hijja hii kumetokea matuki mawil ya maafa.Mara ya kwanza kuliharibika lift ambayo ilikuwa ikitumiwa kwenye ujenz wa jengo na kampuni ya Al-Banlaed(kama sijakosea) ndo ilikua inahusika na imefungiwa kufanya kazi,why kadhia hii wahusishwe waafrika???Kuna mwanaharakat mmoja raia wa Saudia ameulaumu utawala wa mfalme kuwa umezembea ndo maana haya madhila yametokea...HAPA SAUDIA HAIKWEPI LAWAMA,HIKI SIO KISA CHA KWANZA KUTOKEA
 
Nafikiri ilidhibitishwa na mfalme mwenyewe wa Saudi Arabia kuwa watu wa Africa ndio chanzo
Ila sasa huyo mfalme hajatuambua Mwafrika kivipi yaaani
Kwasababu tu anatokea Africa au kwasababu ni mweusi? Hawajatuambia kwasababu hizo sababu zote hazina maana zaidi ya kutafuta lawama

Mdau ukifatilia media ya middle east, huyo mfalme anashambuliwa kuwa AMEPWAYA ni kwamba hakidhi vigezo vya kuongoza.
 
[h=1]MUSLIMS, why do you hate black people so much?[/h]
Is it true that Arabs hate black people and believe that Satan was a black man, and if you dream of black women your life will be full of disease?

Also is it true that blacks are looked at as soulless raisin heads that are never to enter heaven strickley created to dwell with the infidels in hell?

And that Allah created black man to bring upon you doom and destruction for annoying god.

My question is it seems like Allah and Arabs hate black people and if this is how you feel than your religion is no different than the KKK, at least the KKK are open and straight forward with it instead of smiling in your face after they gave you your change from the slurpy you just bought at the seven 11 from Arabs.
[/QUOKuran.

Ndugu Max
Hii inonyesha pungufu kubwa uliyonayo . Hii inadhihirisha wazi hujaisoma Kuran. Nadhani unhitajia kukisoma kama inavyotakiwa na Sunna za Mtume na Inshallah Mwenyezi Mungu Akuhadi ufafanue uujue ukweli ufuate njia iliyonyooka.

Kwa maoni yangy ni kweli wa Taratibu za haji unhitajia marekebisho makuu mawili

1.0 kutoka kwa watu wanoihiji wape we mafunzo maalum kabla ya kwenda kihiji ili nidhamu iwepo na
2.0 Usimamizi uimarishwe uwe bora.
 
Nachukia kubaguliwa kwa rangi yangu!

Lakini pia, suala la kutunza/kuheshimu muda ni tatizo sana katika jamii zetu hizi. Mtu anaweza kuchelewa hata saa nzima lakini wala hajali kabisa.
 
Nafikiri pia HAFAI kabisa
Yeye kama kiongozi alitakiwa asifanye Blame Game
Sasa hilo ni suala lao wenyewe Wasaudia na uongozi wao ila wasianze kulalama,na ukiangalia kumetokea madhira mara mbili ndani ya mwezi,kama hili limesababishwa na waafrika je la kuharibika lifti kasababisha mwafrika?
 
Yeah nafikiri hilo ndilo la msingi alikusa busara na hekima kwa kusema alichosema
 
Mkuu Ngongo
Shetwani anatwangwa palepale ulipo unapokataa uzinifu, wizi, kuonga, kuhongwa, dhuruma dhidi ya binadamu wenzio uuaji na mengine kama hayo. Huwezi kumkosea Ayub ukaenda kutubu kwa Omar. Hii ina maana endapo makosa yamefanyika Afrika, kumbe hata toba inaweza kufanyika hukuhuku. Mungu pia yupo hapa, wanaokwenda Hijja hawaendi kumtafuta Mungu aliyepotea (nadhani Mungu yupo kila mahali), bali ninadhani na kwa maoni yangu wanakwenda tour...(wanataliii). Kwa nini nasema hivyo, je hao wasio na uwezo kulipia hoteli na ndege Mungu atawakataa siku ya mwisho kwa kuwa hawakwenda hijja kumtembelea Mungu Makka, bali waliishi vipi na majirani/
Mkuu BUBE nina vijiswali vidogo.

Mosi ikiwa hakuna Mungu wa waAfrika au Mungu mweusi ni kwanini tuna mwabudu kwa kutumia lugha ya Kiarabu ?.

Pili ikiwa Mungu yuko kila mahali mbona tunalazimishana kwenda Makka ?.

Tatu ninachojua Mungu na Shetani wako Makka ndio maana tuna kwenda kumtwanga mawe shetwani na kumwabudu au kuhijji Makka ukienda Manyara au Serengeti kuhijji Mungu hatambui ukienda Zanzibar ukamtwanga mawe shetwani shetwani haumii wala havuji damu.

Ipo haja ya sisi waAfrika kuanzisha ibada zetu zitakazotumia lugha zetu.
 
Mkuu BUBE nina vijiswali vidogo.

Mosi ikiwa hakuna Mungu wa waAfrika au Mungu mweusi ni kwanini tuna mwabudu kwa kutumia lugha ya Kiarabu ?.

Pili ikiwa Mungu yuko kila mahali mbona tunalazimishana kwenda Makka ?.

Tatu ninachojua Mungu na Shetani wako Makka ndio maana tuna kwenda kumtwanga mawe shetwani na kumwabudu au kuhijji Makka ukienda Manyara au Serengeti kuhijji Mungu hatambui ukienda Zanzibar ukamtwanga mawe shetwani shetwani haumii wala havuji damu.

Ipo haja ya sisi waAfrika kuanzisha ibada zetu zitakazotumia lugha zetu.

Ibada zilikuwepo ila tukaambiwa sio miungu ya kweli.
 
Hili ni swali ambalo inabidi waafrika tujiulize tena kiundani. Je huku kwetu hakuna Mungu? Mbona ardhi yetu ina kila kitu,
tofauti na Huko saudi ambako ni jangwa, mbona naona kama Mungu alitupenda sisi zaidi kuliko hao waarabu? Nikiangalia serengeti, msitu wa kongo mto Tanganyika naona Mungu yupo hapa hapa Afrika.
 
Lini Afrika itakuwa na Mungu wao.

Mkuu pengine Yericko Nyerere atakuwa na jibu na hasa ukizingatiwa sasa ana muda wakutosha kuendeleza kazi ya Mungu wa Mwafrika na Biblia yake maana kazi ya kupigania Mabadiliko amekwisha acha na pengine baada ya kupata ushirikiano toka Dr.Mihogo (Utani huu Mkuu yericko)

Last edited by a moderator:
Pilgrims indiscipline and failure to adhere to timetables has been blamed for the stampede at the Hajj pilgrimage in Saudi Arabia’s holy city of Mecca.

In controversial statements, African pilgrims have been blamed for this indiscipline. Saudi-owned al-Arabiya TV reportedly quoted the head of the central Hajj committee, Prince Khaled al-Faisal, blaming the stampede on “some pilgrims with African nationalities”.

Similarly, Saudi health minister Khaled al-Falih, told El-Ekhbariya television that “many pilgrims move without respecting the timetables [set by authorities, which was the] principal reason for this type of accident. If the pilgrims had followed instructions, this type of accident could have been avoided,” ibtimes reported.

At least 717 people are reported to have died and and 850 injured in one of the worst tragedies to hit the holy city.

Saudi Arabia’s crown prince, Prince Mohamed bin Nayef, has ordered an investigation into the tragedy following accusations over lax safety and security measures.

Source: BBC
Hii dini haitufai sisi waafrika, sasa sijui ameunda tume ya kuchunguza ili iweje wakati akilalama kuwa waafrika ndio hawakufuata taratibu
 
Back
Top Bottom