African pilgrims blamed for the Hajj stampede

African pilgrims blamed for the Hajj stampede

Iran imeshasema,wenyeji hawana mipangilio mizuri linapokuja suala zima la kuhiji huko Saudia arabia:ktk vifo vilivyotokea, si chini ya watu 95,wanatokea Iran!, hii ni kwa mujibu wa Aljazeera Tv.
 
Wasiwalaumu waafrika , wajilaumu wao yawezekana shetani alikasirika baada ya kurushiwa mawe

Shetwan alikasirika akasema "aaaaah jama hata huyu anayewakandamiza waafrika wenzie naye anipiga mawe? Mmmmmmh sikubali"
 
[h=1]MUSLIMS, why do you hate black people so much?[/h]
Is it true that Arabs hate black people and believe that Satan was a black man, and if you dream of black women your life will be full of disease?

Also is it true that blacks are looked at as soulless raisin heads that are never to enter heaven strickley created to dwell with the infidels in hell?

And that Allah created black man to bring upon you doom and destruction for annoying god.

My question is it seems like Allah and Arabs hate black people and if this is how you feel than your religion is no different than the KKK, at least the KKK are open and straight forward with it instead of smiling in your face after they gave you your change from the slurpy you just bought at the seven 11 from Arabs.
 
Kama nchi za Kiafrika hazikufata "time table" iliyopangwa ulitaka wasiambiwe.

Kila uchunguzi na tafiti hufanyiwa kazi na ukienda Makkah kila mwaka kunabadilika na kufanya Hajj kuwa nyepesi zaidi kwa hizo tafiti na uchunguzi unaofanyika baada ya maafa........

Hakuna lolote, hapo ni ubaguzi tu plain and simple. Afrika ina mahujaji kutoka mataifa mbalimbali. Huwezi kusema "waafrika" kwa ujumla wao as if waafrika wote waliokuwako huko walienda kama group moja lenye uwelewa mmoja! That's just pure racism! Ingekuwa mahujaji toka egypt ndio walikuwa wanapikia kwenye hayo mahema, je ingesemwa 'waarabu' au egyptians? Mwenyewe unasema kila nchi inapangiwa utaratibu wao, sasa hiyo nchi inayoitwa 'afrika' iliyovuruga utaratibu iko pande gani?
 
Tatizo waafrika mnadandia tu tamaduni za watu ndo maana mnasingiziwa na mnakosa cha kujitetea.

Kina Maduhu wanaenda kuhiji nje ilhali kaburi la Ng'anamalundi liko huko huko usukumani.

Mwanamalundi angekuwa kazaliwa middle East mngekuwa mnasali,"katika jina la Mwanamalundi shetani toka".
 
...nathubutu kusema kakosea sana,tena sana,kutoa lawama kwa waafrika. Wangetulia, wafanye uchunguzi ukikamilika ndio waje na taarifa kamili.Kusema waafrika wamesababisha ni dharau,either anamaanisha waafrika ni wajinga wasuofuata taratibu au ni washamba.?!

Kwanini wasiwe wanatoa maelekezo basi kwa wale wanaokwenda kuhiji ili kuepusha madhara km haya, na vile hii sio mara ya kwanza kwa tukio km hili kutokea...wamekosea sn kuwalaumu waafrika.

Nionavyo;mamlaka za Saudia wasijaribu kukimbia tatizo,limeshatokea ndani ya mipaka yao wakae chini wafikirie namna ya kuzuia majanga mengine siku za mbeleni.Sio kukimbilia tu kurusha lawama kwa tabaka fulani la watu, ambao nao ni haki yao kwenda kuhiji.

Mungu awajalie nguvu wote waliofikwa na msiba popote walipo duniani.
 
Hakuna lolote, hapo ni ubaguzi tu plain and simple. Afrika ina mahujaji kutoka mataifa mbalimbali. Huwezi kusema "waafrika" kwa ujumla wao as if waafrika wote waliokuwako huko walienda kama group moja lenye uwelewa mmoja! That's just pure racism! Ingekuwa mahujaji toka egypt ndio walikuwa wanapikia kwenye hayo mahema, je ingesemwa 'waarabu' au egyptians? Mwenyewe unasema kila nchi inapangiwa utaratibu wao, sasa hiyo nchi inayoitwa 'afrika' iliyovuruga utaratibu iko pande gani?

Pande za Africa.
 
MUSLIMS, why do you hate black people so much?

Is it true that Arabs hate black people and believe that Satan was a black man, and if you dream of black women your life will be full of disease?

Also is it true that blacks are looked at as soulless raisin heads that are never to enter heaven strickley created to dwell with the infidels in hell?

And that Allah created black man to bring upon you doom and destruction for annoying god.

My question is it seems like Allah and Arabs hate black people and if this is how you feel than your religion is no different than the KKK, at least the KKK are open and straight forward with it instead of smiling in your face after they gave you your change from the slurpy you just bought at the seven 11 from Arabs.
wewe ndiye usiyejua na nasema acha kuwaonea wenzio wivu
labda tatizo hujalijua
watu wanakwenda kule with the intention to die over there so that waingie peponi moja kwa mmoja......a family feels good kufiwa na nduguye anapokwenda macca

and u know how are they going to be rewarded huko pepeoni......
 
...nathubutu kusema kakosea sana,tena sana,kutoa lawama kwa waafrika. Wangetulia, wafanye uchunguzi ukikamilika ndio waje na taarifa kamili.Kusema waafrika wamesababisha ni dharau,either anamaanisha waafrika ni wajinga wasuofuata taratibu au ni washamba.?!

Kwanini wasiwe wanatoa maelekezo basi kwa wale wanaokwenda kuhiji ili kuepusha madhara km haya, na vile hii sio mara ya kwanza kwa tukio km hili kutokea...wamekosea sn kuwalaumu waafrika.

Nionavyo;mamlaka za Saudia wasijaribu kukimbia tatizo,limeshatokea ndani ya mipaka yao wakae chini wafikirie namna ya kuzuia majanga mengine siku za mbeleni.Sio kukimbilia tu kurusha lawama kwa tabaka fulani la watu, ambao nao ni haki yao kwenda kuhiji.

Mungu awajalie nguvu wote waliofikwa na msiba popote walipo duniani.
wakati uchunguzi ukiendelea kuna mambo yaliyowazi kabisa na lazma yasemwe
ni mahujaji weusi wenye hamu ya kufia macca kuliko hata waarabu
 
inamaana wao hawana utaratibu wa kukabiliana na wavunja timetable?
 
Nauliza tuu. Kwani ni lazima mwende huko? Kufanya hiyo ibada. Hma namna mnaweza kufanya hukuhuku bongo. Hiyo mnayoenda kufanya huko? Nauliza tuu. Hamwezi kutengeneza mazingira mkafanyia huku? Kama mnavyochinja mfugo mnaelekeza kichwa kule. Hamna namna mnaweza kutengeneza mkafanya ibada hiyo hapa mkaielekeza kule. Nielewesheni.
 
Wapi kwenye hiyo habari alipokuwa blamed African?

Yaani hamuwachi ufataani?
 
Mezeni ikawa ukwel mchungu.kassim kayira kasema kua West Africans ndo wana fujo

Hili halina Ubishi kwa wale waliwahi kusafiri ndege moja na hawa jamaa wanajua jamaa walivyo... Popote penye kufuata utaratibu fulani hawa jamaa ni aibu hawana ustaarabu kabisa na hawajali si wanaume si wanawake,
Panda nao ndege pale Ethiopia aibu unaona wewe,
 
Inabidi wa centralize kama wakatoliki , kwa kuwa ni ibada na inaambatana na mkusanyiko wa watu wengi, wangechagua nchi moja katiaka afrika mashariki ambayo sisi sote tunaotoka ukanda huu, tungefanyia ibada yetu, imani kwamba Mungu yupo saud , na shitani yupo kwenye lilebonde na anaonekana tukampe kipondo cha kumrushia mawe!! hakina nafasi kwa karne ya sasa kitaishia kusababisha vifo vya ndugu zetu wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom