African pilgrims blamed for the Hajj stampede

African pilgrims blamed for the Hajj stampede

katika nchi hiyo mahujaji hufa kila mwaka, je, visabbishi ni waafrika. Huyo mjinga ache kutukana waafrika
 
Kama nchi za Kiafrika hazikufata "time table" iliyopangwa ulitaka wasiambiwe.

Kila uchunguzi na tafiti hufanyiwa kazi na ukienda Makkah kila mwaka kunabadilika na kufanya Hajj kuwa nyepesi zaidi kwa hizo tafiti na uchunguzi unaofanyika baada ya maafa.

Dr. Unakubaliana nami kuwa Waafrika hao kushindwa kwenda na Time table lazima kulikuwa na vikwazo nje ya uwezo wao!
Kwa hiyo siyo kutanguliza lawama kwa kundi ya watu kwa yaliyotokea.Maana maisha yako hivyo na kwa upande mmoja ni Kosa ya Taasisi au Wizara husika kushindwa kuliona hilo mapema .

Kwamba Time table isipozingatiwa hili litatokeana na mbadala wa kushindwa kufuata muda ni 1 2 3 nk.

Waache kuficha uzembe. Kama waafrika hawakufata ratiba na hizo ajali zingine nani hawakufata ratiba? Waunde tume ya kimataifa ichunguze?
 
........in controversial statements, African pilgrims have been blamed for this indiscipline. Saudi-owned al-Arabiya TV reportedly quoted the head of the central Hajj committee, Prince Khaled al-Faisal, blaming the stampede on "some pilgrims with African nationalities"........

Wapi kwenye hiyo habari alipokuwa blamed African?

Yaani hamuwachi ufataani?
 
katika nchi hiyo mahujaji hufa kila mwaka, je, visabbishi ni waafrika. Huyo mjinga ache kutukana waafrika

Anaetukana ni mleta mada, nimeipitia habari yote sijaona hata nukuu moja ikisema kuhusu Waafrika kuwa ndiyo waliosababisha.

Wakulaumiwa na anaeleta fitna ni mleta mada.

Wazi kabisa.
 
Nafikiri ilidhibitishwa na mfalme mwenyewe wa Saudi Arabia kuwa watu wa Africa ndio chanzo
Ila sasa huyo mfalme hajatuambua Mwafrika kivipi yaaani
Kwasababu tu anatokea Africa au kwasababu ni mweusi? Hawajatuambia kwasababu hizo sababu zote hazina maana zaidi ya kutafuta lawama
 
ni ukweli mchungu kweu waaafrika...hatuna ustaarabu wengi wetu ( tukatae au tukubali) na tuna imani hadi inavuja... kama ndugu zetu wa afrika magharibi ambao wanaamini kufia huko ni moja kwa moja mbinguni... japokuwa hii sio sababu kuu ila ni moja ya sababu
 
Huwezi kusema waafrica bwana lazima useme mtu mmoja mmoja
Mbona ni nimeona wazungu wengi tu sio wastaarabu,waarabu wengi sio wasaatarabu,wahindi wengi sio wastaraabu
Ila hatuwezi sema race yote sio wastaraabu kwasababu ya watu wachache
 
........in controversial statements, African pilgrims have been blamed for this indiscipline. Saudi-owned al-Arabiya TV reportedly quoted the head of the central Hajj committee, Prince Khaled al-Faisal, blaming the stampede on "some pilgrims with African nationalities"........
s

Neno "blaming" ni nukuu ya nani?

Hapo unaonesha kwenye quotation marks neno "some pilgrims with African Nationalities" lakini humalizii hiyo sentensi, jee haiwezi some pilgrims with African Nationalities have suffered the most?

Mnatia maneno yenu kwa ufataani halafu mnasingizia yamesemwa na Wasaudi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea uongo?
 
Huwezi kusema waafrica bwana lazima useme mtu mmoja mmoja
Mbona ni nimeona wazungu wengi tu sio wastaarabu,waarabu wengi sio wasaatarabu,wahindi wengi sio wastaraabu
Ila hatuwezi sema race yote sio wastaraabu kwasababu ya watu wachache

Nnauhakika hata ulichokisoma hukielewi.
 
Nafikiri ilidhibitishwa na mfalme mwenyewe wa Saudi Arabia kuwa watu wa Africa ndio chanzo
Ila sasa huyo mfalme hajatuambua Mwafrika kivipi yaaani
Kwasababu tu anatokea Africa au kwasababu ni mweusi? Hawajatuambia kwasababu hizo sababu zote hazina maana zaidi ya kutafuta lawama

= ilithibitishwa

Fikra zako potofu na za uongo, wapi ilipothibitishwa?
 
''..Pilgrims indiscipline and failure to adhere to timetables...''

Well if it is blame or anything else,there are some few things we need to take into consideration.

1. Africans Muslims are blamed/pointed out to be the cause of the stampede, i dont see any problem with the statement unless it is not true that our fellow Aricans and Tanzanians fellows in particular failed to adhere to the instructions. It is very normal in our countries for people to do things their way without following proper instructions. We must LEARN that it is important to heed to the instructions.

2. The definition of word '' indiscipline'' in Arabic the meaning convey very strong meaning, so the use of the word to describe the character of our fellow Africans at the religious ritual is not right. The spokeman was supposed to find the proper word and not ''indiscipline''

Note: We are not supposed to take it in a discriminatory route.
 
Anaetukana ni mleta mada, nimeipitia habari yote sijaona hata nukuu moja ikisema kuhusu Waafrika kuwa ndiyo waliosababisha.

Wakulaumiwa na anaeleta fitna ni mleta mada.

Wazi kabisa.
IT is all over the news, tuhuma kwa Waafrika kusababisha mkanyagano. Ila ukweli unajulikana waliosababisha hayo. Ingawa nawe unawashutumu Waafrika wenzako kuwa ni chanzo. Kwanini lawama ziende kwa Waafrika kwa sababu baadhi yenu, mnawaona Waafrika kama viumbe dhalili. Kila baya linaelekezwa kwa Waafrika. Cha ajabu hata hilo, hulijui, Waliosababisha mkanyagano ni WAIRANI, ila kwa sababu ambazo hazijulikani lawama kwa Waafrika nawe unawaunga mkono, Dada acha hizo
 
Hivi kufa kwenya hiyo hija ni dili ehh? Hao wanaochunguza wanataka kuzuia watu wasife wakati wameamua uhai wao uishie huko. Ninaendelea na safari zangu..
 
Kwa sababu ibada ha hijja inahusu waislamu kutoka nchi mbalimbali, basi management ya zoezi lote la hijja lisimamiwe na vyombo vya vya kimataifa
 
Back
Top Bottom