African 'one term' presidents: Will Magufuli take a course?

African 'one term' presidents: Will Magufuli take a course?

Katika kutoa maoni yetu kwa ajili ya nchi yetu tusitumie maneno yenye kukashifu,kudhihaki, na kutukana mamlaka.

Kama ulivo sema wewe hutukani,hudhihaki wala kutoa maneno yenye kutishia us alama na ustawi wa nchi. Lakini tambua kuna watu wengine wengi tu hutumia mitandao kuzusha, kudhihaki, kutukana mamlaka nk.

Maoni yanayotolewa kwa staha husikilizwa na kufanyiwa kazi hata kama sio kwa haraka lakini hushughulikiwa.

Kuhusu vitisho...
Unadhani nchi ambazo viongozi wake walipinduliwa au waliondolewa kabla ya mihula yao kuisha nchi hiyo zimetulia. ..?hebu nenda fanya Google search za nchi hizo uangalie hali zao zipoje kwa maana ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiusalama.

Nikwambie kitu magufuli akitolewa kwa njia hizo wakaingia hao mnao waona bora sasa kabla ya muda wao nao watatolewa na makundi mengine ambayo yatapata uhalali wa kutumia njia hiyo hiyo iliyotumika kwa magufuli hivo choko choko za ajabu na visa havitaisha humu nchini.

So lets think twice sio kuwaza pesa tu mifukoni ukiwanazo kama huna amani utashindwa kutimia hizo pesa.
Dah huyu nyu****mb unampa za uso hadi aibu. Ebu mpe elimu coz humo kichwani ni ZERO kabisa
 
Mkuu,

Wewe, Tindo na yule mwenye avatar ya yule msichana wa Pakistani nyote mna mawazo mazuri sana na nnawapenda kwa kuwa na mawazo ya kuchagiza.

Mnachokosea niu namna ya kuyawasilisha mawazo yenu na sijawahi kuona mnatoa matusi wala lugha ya kashfa.

Si ninyi ambao mnafanya hivyo bali wenzenu wenye mawazo kama yenu.

Ondoeni "contents" zenye kuchochea, kukashifu, kutukana, kutisha na kukejeli serikali iliyopo madarakani.

Kwa mfano umeweka kichwa cha mada yako kikielezea viongozi wa Afrika ambao hawakudumu madarakani na ukasema " Will Magufuli take a course?

Unamaanisha kwamba je Raisi Magufuli nae atafuata mkondo?

Sasa kwa tafsiri ya hicho kichwa cha habari na yaliyomo humo ni mapinduzi, kuondolewa kwa nguvu viongozi na hata kuuawa kwa mmoja wa viongozi hao.

Na unamwambia raisi Magufuli kwamba na yeye atafuata mkondo, wamtisha raisi wako? waitishia mamlaka? je watishia taasisi ya uraisi?

Hivyo ndivyo baadhi ya wageni na wanachama wengine watakuwa wanaweza.

Usidhani ni sisi tu wanachama wa JF twasoma hapa wapo watu wengi wa rika tofauti, kazi tofauti na malengo tofauti.

Tumia njia sahihi ya kuwasilisha maoni yako bila kumkwaza mtu, kumuudhi na hata kufanya akuchukie, hatua ambazo zitajenga uadui uso lazima.

Otherwise, I like you guys and your way of thinking!
Asante Richard.

Unajua kuna njia mbalimbali za kufikisha ujumbe kwa mlengwa au walengwa, unaweza kufikisha kwa kusifia, kwa kukosoa kama Zitto anavyofanya, unaweza ukamuuzi mtu ili uone response yake, unaweza kumtisha kwa lengo la kumfanya ajirekebishe kama Musiba anavyofanya, au unaweza kutumia njia za kawaida kama bunge nk, kwa nia njema kabisa ili ujumbe ufike lkn inategemea namlengwa atapokeaje,

Heading yangu ya 'Will Magufuli take a course?" ilikuwa na nia mbili mosi ni ku draw attention pili kupata maoni ya wachangiaji wata relate vipi utawala huu na yaliyowahi kutokea duniani, na je yana faida na hasara gani, baada ya kujua pros n cons zake nini kifanyike kuzuia yasitokee, lkn badala yake watu wanaishia kusoma heading tu wanakuja na majibu yao kuwa namtisha rais which is not my intention.

But all in all nashukuru kwa ushauri wako.
 
Tuko na magufuli hadi wote tunyooke. Hutaki hama nchi,na ikiwezekana jamaa awe anacharaza hadi bakora maana UNAFKI umezidi kiwango cha SGR
Nilifikiri utasema hadi ninyooke kumbe hadi wote tunyoke you are right basi msalimie Kinana, Makamba na Nape.
 
Hakuna nchi ya nje itakayofanya chochote! Wako kimaslahi na hawawezi kuvuruga maslahi yao kwa vitu kama hivi. Zanzibar matokeo yalibadilishwa mchana kweupe na hakuna kilichotokea! Watanzania hatuna tabia ya kusoma vitabu. Ungekuwa msomaji ungefunguka macho jinsi nchi za magharibi zinavyofanya kazi.
Waliponzwa na kuingiza harakati za kidini (uamsho) kwny siasa, ikaonekana wanaeza karibisha makundi hatari kama al-qaida, nk
 
Tuko na magufuli hadi wote tunyooke. Hutaki hama nchi,na ikiwezekana jamaa awe anacharaza hadi bakora maana UNAFKI umezidi kiwango cha SGR

Naona asaiv sio one sided tena, ni two sided.. wasalimie Lumumba
 
Naona asaiv sio one sided tena, ni two sided.. wasalimie Lumumba
Nina miez 6 siko Tanzania, kwa akili yako unafikir kila anayeunga jitihada za jpm analipwa na yuko lumumba.
 
Nina miez 6 siko Tanzania, kwa akili yako unafikir kila anayeunga jitihada za jpm analipwa na yuko lumumba.
Kwani umeenda na familia yako yote au umeiacha Tanzania.
 
Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.
Acha Kupiga Watu Biti MALAY** ww Amber Rutty Na Kwa Taarifa yako TL MARANDU yupo Hapa STATES na Anaendelea Kudondosha videos Youtube Kama Kawa Choko ww wa Arumeru.
 
Nikweli lakini imekuwa too much to the extent sasa....
Ikisoma bandiko hilo limejaa hadithi za mapinduzi mapinduzi na kutokamilisha mihula ya uongozi.

Hadithi kama hizi zinapandikiza threats na upumbavu, why now?

KWENYE BIBILIA WAMEANDIKA ATAKAE VUMILIA HADI MWISHO NDIO ATAKAE OKOKA lakini hapa tunaona kuna mipumbavu ambayo ilizoea kuiba imeshindwa kuvumilia kusubiri matunda, maziwa na asali yameanza kuleta choko choko.


Kwa mjibu wa katiba ibara ya 15, 17, na 18 unaruhusiwa kutoa maoni lakini kwa namna gani basi, kwa namna ambayo haivunji utu wa mwingine wala kumdharisha na kukashifu.

Na ukumbuke unavyo mkashifu raisi unakuwa umemkashifu kiongozi wa taasisi ya urais jopo lake halitakubali kuendelea kukashifiwa kwa namna yoyote ile na wao watajibu kwa njia yeyote ile kutetea taasisi yao.
Walioandika Katiba rais kuwa na kipindi kimoja cha miaka mitano hawakuwa wajinga.
 
IMG_20190809_091704.jpeg
 
Richard mbona ume delete comment yako nilitaka nikuletee link kabisa


Niilikuwa nathibitisha chanzo maana wameandika kienyeji na kiuoga sana.

Yaani wanajaribu ku-challenge mfumo wetu wa mahakama?

Kwani wao kuna mtu amejaribu kufanya hivyo huko makwao?

Our justice systems are there to be different but with same purpose.

Waongelea kwamba jamaa alinyimwa nafasi ya kumwona wakili lakini nadhani hao mawakili wake wajitokeze kutoa ufafanuzi zaidi ili kuliweka sawa hili jambo.
 
Back
Top Bottom