African 'one term' presidents: Will Magufuli take a course?

African 'one term' presidents: Will Magufuli take a course?

Mnatia huruma sana make hamjui yaliyo nje ya upeo wenu na kwa kuwa uwezo wenu ni wa kibaba mko hapa mnafarijiana utadhani ni wale manusura wanaokuwa wanaomba na kusali huku wameshikana mikono huku wakisubiri kuokolewa pale MV Nyerere inapokuwa imepinduka juu chini.

Mkitaka kuelewa mnayoyafikilia ni pale zinakoishia kuanzia leo msiwe mnalala ..yaani mkeshe usiku kucha kuanzia leo hadi 2020 make nyie mnapokwenda kulala dunia huwa inapinduliwa juu chini na yanayokuwa yanaendelea ni wale tu wanaoufahamu vizuri usiku wa manane.

Endeleeni kuota mchana kweupe!
Mkuu kwa hiyo ulitaka kusema nini.
 
ila kiukweli urais wa tz ni mgumu kwelikweli kila anayeingia watu tunamlaumu naomba mungu anijalie maisha marefu kidogo niwaone watz watakavyommis anko magu akisitafu
 
Endeleeni kuota. Kuota ni ruksa kwa kila mtu. Lakini kabla hujaota ujinga fikiria: Umeshindwa kushinda uchaguzi kwenye jimbo lililopo Dar (sehemu yenye watu wenye mwamko), utawezaje kushinda sehemu nchi nzima!
Mbona hujaeleweka? Kuna uchaguzi uliowahi kufanyika CCM wakashinda?
 
Nikweli lakini imekuwa too much to the extent sasa....
Ikisoma bandiko hilo limejaa hadithi za mapinduzi mapinduzi na kutokamilisha mihula ya uongozi.

Hadithi kama hizi zinapandikiza threats na upumbavu, why now?

KWENYE BIBILIA WAMEANDIKA ATAKAE VUMILIA HADI MWISHO NDIO ATAKAE OKOKA lakini hapa tunaona kuna mipumbavu ambayo ilizoea kuiba imeshindwa kuvumilia kusubiri matunda, maziwa na asali yameanza kuleta choko choko.

Kwa mjibu wa katiba ibara ya 15, 17, na 18 unaruhusiwa kutoa maoni lakini kwa namna gani basi, kwa namna ambayo haivunji utu wa mwingine wala kumdharisha na kukashifu.

Na ukumbuke unavyo mkashifu raisi unakuwa umemkashifu kiongozi wa taasisi ya urais jopo lake halitakubali kuendelea kukashifiwa kwa namna yoyote ile na wao watajibu kwa njia yeyote ile kutetea taasisi yao.
Ndio kwani huoni jiwe amevinja katiba, anachoamua yeye ndio kifanyike? Huoni hata matumizi yake yako nje ya bajeti, huoni watu wanabambikiwa kesi kisa hawako upande wake? Hata juzi akiwa ikulu inaonekana wakina malinzi wako jela kwasababu yake tu. Anataka kila sehemu atawala yeye, haitawezekana endeleeni kimchuza, iko siku.
 
Watanzania ni wanafiki na malimbukeni wanaopenda mteremko kwenye kupata mafanikio....

Mlilia lia kikwete fisadi, huduma mbovu, wenye nacho wanasikilizwa kuliko wasionacho mkawa mnaomba usiku kucha atoke rais wa tofauti mkalli asiwe legellege like kikwete amepatikana mnaanza kulalamika ooh mara ivi mara kilikwenda kimerudi pumbavu kabisa.

Magufuli kanyaga mafuta twende wasikutishe.
Hoja nzito kama hizo unajibu,simple tu,huyo magu wako this time atakanyagwa yeye
 
Mbona hujaeleweka? Kuna uchaguzi uliowahi kufanyika CCM wakashinda?
Ngoja nikufurahishe: hawajawahi kushinda bali huwa wanaiba! Haya baada ya kufurahi nijibu hili swali: kama wameshindwa kuwazuia kuiba kwenye jimbo moja wataweza Tanzania nzima?
 
Ngoja nikufurahishe: hawajawahi kushinda bali huwa wanaiba! Haya baada ya kufurahi nijibu hili swali: kama wameshindwa kuwazuia kuiba kwenye jimbo moja wataweza Tanzania nzima?
Bado unajikanganya tu, siku tutakapo wazuia nyie wote ndio mtakuja barabarani kushangilia. Acheni tu haya mambo yapite, maana mnaona lakini hamuelewi, mnasikia lakini hamtambui. Nakupa pole sana.
 
Ngoja nikufurahishe: hawajawahi kushinda bali huwa wanaiba! Haya baada ya kufurahi nijibu hili swali: kama wameshindwa kuwazuia kuiba kwenye jimbo moja wataweza Tanzania nzima?
Tatizo una akili za kitoto mno,unadhani siku huwa zinafanana?
 
Bado unajikanganya tu, siku tutakapo wazuia nyie wote ndio mtakuja barabarani kushangilia. Acheni tu haya mambo yapite, maana mnaona lakini hamuelewi, mnasikia lakini hamtambui. Nakupa pole sana.
Ingekuwa maneno ndiyo matendo.....! Na zaidi hata ukikasirika kiasi cha kupasuka unajiumiza tu. Siasa za Afrika hazihitaji hisia na hasira! Utaishia madongokuinama wakati wenyewe wako juu wamejikunjia nne.
 
Endeleeni kuota. Kuota ni ruksa kwa kila mtu. Lakini kabla hujaota ujinga fikiria: Umeshindwa kushinda uchaguzi kwenye jimbo lililopo Dar (sehemu yenye watu wenye mwamko), utawezaje kushinda sehemu nchi nzima!

Chadema walishinda lakini CCM waliiba kura
 
Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.

Samahani kusema ni Kunguru tu ndio hataelewa nini kilichofanyika kwenye chaguzi zilizopita. Kwa kweli mimi ni mwanaCCM damudamu but kwa chaguzi hizi ati twajigamba? Utakuwa ni upungufu wa kitu kichwani.
 
Endeleeni kuota. Kuota ni ruksa kwa kila mtu. Lakini kabla hujaota ujinga fikiria: Umeshindwa kushinda uchaguzi kwenye jimbo lililopo Dar (sehemu yenye watu wenye mwamko), utawezaje kushinda sehemu nchi nzima!
Siminari za kikatoliki ukiota kijinga keshoyake unafukuzwa
 
Kuna wangapi wameumizwa awamu hii kwa makosa ya kuhisiwa au kusingiziwa,
Kesi ya Lugumi imeishaje, kesi ya milioni 7 kwa dakika iliishaje, Manji na madawa ya kulevya imeishaje,

Hizo ni baadhi tu ya kesi zilizoumiza watu bila sababu za msingi achilia mbali kuminywa kwa uhuru wa demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kufanya tafiti, mauaji na utekaji kuongezeka, ni mengi tu yametokea wakati wa utawala wake.

Hayo na mengi lazima watu waanze kufikiri one term president.

ndoto
 
Back
Top Bottom