African 'one term' presidents: Will Magufuli take a course?

Wanasema soma alama za nyakati
Mkuu wa majeshi- Kanda ya dhiwa
Inspector General of polithi- Kanda ya dhiwa
CDF na IGP wakisema mkanda mwenzetu hang'oki basi hapo ni
PA ! PA ! PA ! PA ! mayowe !
 
Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
Hivi wewe unaamini huko Monduli, Kinondoni, Korogwe n.k. kulikuwa na uchaguzi ......!!??
 
Quinine-Andiko lako lina somo zuri tu lakini sisi nchi yetu ni ya kistaarabu sana, tumuombee Rais wetu mpendwa Dr.Magufuli awe na afya njema atuongoze hadi 2025.Hayo unayosema ya mapinduzi si ya kuomba yatokee nchini mwetu.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
 
Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.

Hivi kusema kuna one term presidents ni kumtisha rais, basi rais wa kutishwa hivyo hafai kuwa rais, afterall Ikitokea haitakuwa ajabu na hatakuwa wa kwanza kuwa one term president Tanzania, Abdul Jumbe alikuwa one term president.
Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.
 
Haya yote yallikuwa yanatokea wakati wa nyuma au awamu zingine ila sasa yanaonekana makubwa kwa sababu ya utandawazi na kukuwa kwa technology...

Magufuli sio malaika yule ni binadamu mengine anakosea na kwa nafasi yake pengine wapo washauri wake wanampa mawaidha mabaya as a leader wa taasisi inabidi atekelleze tu kwa sababu system inamtaka hivo hata awe nani itakuwa hivo hivo tu.
Magufuli siyo malaika.....huwa anakosea, I take your word.

Hivi wakati wa Kikwete mitandao haikuwepo... sometimes kukubali kosa siyo udhaifu ni kujifunza, Kikwete alikuwa na udhaifu wake lkn alikuwa anaheshimu utu wa mtu na uhai wa binadamu.
 
Mkuu wewe endeleza UPUMBAVU wako huu na hii ni wiki ya pili mfululizo.Kitakachokukuta sijui Kama utakuwa na muda wa kurudi kutueleza, Kama upo JF kitambo yupo wapi jamaa alikuwa anaishi ughaibuni anaitwa TL MARANDU?, yupo wapi BAK?,yupo wapi MOKHILI FUMULAUHI?, wapo wengi tu waliojiona wanaweza kuongea pumba zozote sababu wapo Jamii forums Kila kitu kina mipaka yake, ukae ukijua hizi chokochoko wewe pamoja na waliokutuma(wanaokulipa hazitakuacha salama.
Kwahiyo ndio umetumwa kunitisha, mtu anaishi mara moja na kufa mara moja hata wewe utakuja kupotea JF no one is safe mkuu. Afterall nikifa wewe utapata faida gani.
 
Magufuli siyo malaika.....huwa anakosea, I take your word.

Hivi wakati wa Kikwete mitandao haikuwepo... sometimes kukubali kosa siyo udhaifu ni kujifunza, Kikwete alikuwa na udhaifu wake lkn alikuwa anaheshimu utu wa mtu na uhai wa binadamu.
Unakumbuka unyama wa dk Ulimboka, mwangosi, kipigo cha machinga mbeya nk,migomo ya wamiliki wa mabasi na watumishi? ?

Unadhani kukiuka utu wa mwanadamu ni kuuwa tu?

Mitandao imapata umaarufu hasa enzi za jakaya kwa sababu ndio walikuwa matured vijana wengi walikuwa wanawaza mapenzi tu ila sasa ivi kila kijana anataka ajikute ni mwanasiasa au mchambuzi wa siasa.
 
Quinine-Andiko lako lina somo zuri tu lakini sisi nchi yetu ni ya kistaarabu sana, tumuombee Rais wetu mpendwa Dr.Magufuli awe na afya njema atuongoze hadi 2025.Hayo unayosema ya mapinduzi si ya kuomba yatokee nchini mwetu.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
Hakuna anayeombea mabaya ila ni vizuri kukumbushana kuwa tusipokuwa waangalifu yanaweza kutokea.
 
Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
Ccm huwa haishindi ndugu! Nyie mnatangazwa tu, wakurugenzi na tume ya uchaguzi walishapewa maelekezo!
 
Umeona sasa kauli zako(zenu) ni nani atakaewasikiliza hata kama ni mwendawazimu......

Una uhakika yeye ndio anateka au anaagiza kuteka.

Je ni wapi hafati sheria?

Hili nalo ni swali? Mbona jf imeshuka hivi??
 
Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.

Hivi kusema kuna one term presidents ni kumtisha rais, basi rais wa kutishwa hivyo hafai kuwa rais, afterall Ikitokea haitakuwa ajabu na hatakuwa wa kwanza kuwa one term president Tanzania, Abdul Jumbe alikuwa one term president.
Ukimaliza kuota njoo tena!
 
Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?

Ndio majuto ni mjukuu lkn watu wakiamua huwa hawaangalii matokeo ndiyo maisha yalivyo.

Tunapotoa mifano hiyo ya marais waliopinduliwa au kuondolewa na bunge siyo vitisho ni mafunzo kwa watawala na wananchi kwamba watendeane haki yasije kuwakuta kama hayo.
Wangapi au ni wewe tu na unyumbu wako!
 
Mnatia huruma sana make hamjui yaliyo nje ya upeo wenu na kwa kuwa uwezo wenu ni wa kibaba mko hapa mnafarijiana utadhani ni wale manusura wanaokuwa wanaomba na kusali huku wameshikana mikono huku wakisubiri kuokolewa pale MV Nyerere inapokuwa imepinduka juu chini.

Mkitaka kuelewa mnayoyafikilia ni pale zinakoishia kuanzia leo msiwe mnalala ..yaani mkeshe usiku kucha kuanzia leo hadi 2020 make nyie mnapokwenda kulala dunia huwa inapinduliwa juu chini na yanayokuwa yanaendelea ni wale tu wanaoufahamu vizuri usiku wa manane.

Endeleeni kuota mchana kweupe!
 
Watanzania ni wanafiki na malimbukeni wanaopenda mteremko kwenye kupata mafanikio....

Mlilia lia kikwete fisadi, huduma mbovu, wenye nacho wanasikilizwa kuliko wasionacho mkawa mnaomba usiku kucha atoke rais wa tofauti mkalli asiwe legellege like kikwete amepatikana mnaanza kulalamika ooh mara ivi mara kilikwenda kimerudi pumbavu kabisa.

Magufuli kanyaga mafuta twende wasikutishe.
Bora raisi mla rushwa kuliko raisi Muuaji
 
Quinine-Andiko lako lina somo zuri tu lakini sisi nchi yetu ni ya kistaarabu sana, tumuombee Rais wetu mpendwa Dr.Magufuli awe na afya njema atuongoze hadi 2025.Hayo unayosema ya mapinduzi si ya kuomba yatokee nchini mwetu.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
Prophets of doom utawajua tu kama huyo mleta mada.

Waliota mabaya kipindi cha Mange na maandamano fake sasa wanaota ndoto nyingine.
 
Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?

Ndio majuto ni mjukuu lkn watu wakiamua huwa hawaangalii matokeo ndiyo maisha yalivyo.

Tunapotoa mifano hiyo ya marais waliopinduliwa au kuondolewa na bunge siyo vitisho ni mafunzo kwa watawala na wananchi kwamba watendeane haki yasije kuwakuta kama hayo.
Acha uongo wakati wa mkapa mtu anaitwa Mnasa.Wakati wa kikwete Shibuda tena jamaa alienda mbali na kusema " Mtani wangu mkwere chama kinamfia mikononi mwaka. So hamna jipya JPM to 2035
 
Back
Top Bottom