Na Kikwete kaenda? Atakuwa amegonga safari ya 358
Mnatumiwa na mabeberu kuja hapa JF,mnafurahia Viongozi wenu kudhalilishwa na mfumo wa kikoloni? Blair na Bush wali ua maelufu ya watu hawakwenda hata ICC! Marekani haija saini hata mkataba wa Rome! Enyi waafrika wajinga mna ona kama jambo la kawaida viongozi wenu kudhalilishwa??? Mmelogwa na nani enyi kizazi masikini wa fikra na kutambua utu na thamani yenu????
CC CHUAKACHARA
Na dikteta mwingine wa chama na mchumba wake anarandaranda Marekani badala ya kutoa rambi rambi Lampedussa.
Mtoa mada unamfahamu fika
Eti hao wataileta maendeleo Africa. Wanakubaliana na aliyoyafanya Bashir wa Sudan-mass killings, Ya Kenyeta etc.KWELI KABISA, SIO TUU MADICTETA BALI MAJANGILI YA AFRICA. ULaya na marekani zilipopiga marufuku kutambua serikali za kijeshi africa haya amadicteta yalizipongeza sana nchi za Ulaya na marekani. lakini ilipofika mahala Ulaya na marekani walipoanza kushitaki maraisi wauwaji kama tyrol na wenzake, eti AU inaharakisha kikao cha dharula kutaka africa ijitoe!!1
Halafu kuna mama Nkhokosana Zhuma, ni moja ya wakina mama wazembe africa ambaye hajawahi kutokea. hata kuongea kwake ni kwa kizembe tuu. Yeyey pale kaja kupromoti yale mavazi ya kiafric,. Mikanga mingi mwili na kichwani kama Joyce Banda.
hawa madicteta ya africa yanalalamika kuwa eti ICC inalenga africa na sio Ulaya! hivi kweli hawa madicteta yalisoma historia mashuleni? mahakama ya the hague imelenga wazungu kuliko waafrica kama kina IDD amin na wenzake . Raisi wa astria DR Kurt waldheim, mpaka leo hatembei kokote kwa sababu na kesi ya Kuuwa wayahudi mwaka 1945. Slobodan Milosevic raisi wa yugoslavia, kafia Lumande kwa kesi ya kuwauwa wasilamu wa Bosnia na sarajevo. Askari wote wa nazi wameshitakiwa mahakama ya dunia na kuchukua kifungo cha maisha.
sisi wananchi wa africa tulifikia mahala tukaanza kulalamika kuwa, mahakama ya hague haitaki kuwashitaki maraisi wahalifu wa africa. sasa wametuskia kilio chetu, Ghafla madicteta ya africa, yanalalamika eti tunaonewa na ICC, kwa sababu ya rangi ya ngozi.
haya maraisi ya africa, yam,ezoea kutawala katiba zisizo wapeleka mahakamani, hivyo wao kuona ICC inashikisha adabu, wako tayari kuitosa kuliko iwakalie vichwani. mungu yuko nasi mpaka kielewe!
AU ilaaniwe milele!
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
Una habari kuwa viongozi wa sasa wa Africa hawana huruma na mapenzi kwa nchi na raia zao?ndio maana wananchi wa nchi za africa hatuoni vibaya ,aibu,huruma,wala fedheha viongozi wetu hawa "wakionewa"Mnatumiwa na mabeberu kuja hapa JF,mnafurahia Viongozi wenu kudhalilishwa na mfumo wa kikoloni? Blair na Bush wali ua maelufu ya watu hawakwenda hata ICC! Marekani haija saini hata mkataba wa Rome! Enyi waafrika wajinga mna ona kama jambo la kawaida viongozi wenu kudhalilishwa??? Mmelogwa na nani enyi kizazi masikini wa fikra na kutambua utu na thamani yenu????
CC CHUAKACHARA
bado ataenda kwenye send off...