African Birthday.....

Yaani huo mshumaa hapo kwa bed unanipa goosebumps! Ajali za moto zinaanzaga hivi boflo.
 
Hii nzuri sana, hapo unakuwa na mtindi wako
Afu umezungukwa na your loved ones

So good, nazimiss hizi vitu, asubuhi unapiga ugali na maziwa
Unaenda kuchunga lol
 
hahahahhaaaaaaaaaa Boflo jamani mweeeee hehehehehehee
 
Last edited by a moderator:
Hii nzuri sana, hapo unakuwa na mtindi wako
Afu umezungukwa na your loved ones

So good, nazimiss hizi vitu, asubuhi unapiga ugali na maziwa
Unaenda kuchunga lol

hapo unaweka na michembe juu plus masunga,
 
KwaniAfrica ni tajiri?
Bara la Africa ni Tajiri kuliko Mabara yote ya Dunia.Africa tuna kila kitu Almasi,dhahabu,Madini yote,na Mafuta pia tunayo ila kitu kimoja hatuna africa viongozi imara wa kutoongoza na kuipenda Nchi yetu ndio maana hatuendelee tunakuwa ni Masikini. Viongozi wetu ni Mafisadi,wala Rushwa, wezi tunaweza kweli kuendelea kimaisha?
 
sio kila panapowaka mshumaa kuna birthday wakuu! hahaha, huyo anakula nguna subuhi na mapema na siku no inakuwa imeisha hapo, uo mshumaa alikosa pakuu weka ndo akauweka hapo ili auone ugali vizuri sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom