African Angels from MAKANDANA and IGOGWE

734077_461669890557927_523063337_n.jpg
Acha kudanganya bujibuji, hawa ni wasabato wa pale chuo Udsm madarasa ya yombo.
 
kheee huyu wa kwanza kulia si Leah huyu! aaah makandana kwa bibi yangu hapo....mida hii naenda zangu pale juu kununua maparachichi na ndizi tunajifungia ndani tunachoma tu ndizi ...hahaaaa mweeee,,,kukaja kutali vijo amafufu na matakapera...
 
ukimenye ikisyesye ugwe?
 
Mentor kwani wewe hujui kuwa mbinguni ni kusifu na kuabudu tu?
Hii ni sare ya harusi nafikiri, maana mmoja wa wadada hawa ni bubu, sijui bubu anawezaje kuimba kwaya

Kha! hiyo harusi mshonaji anatakiwa apigwe faini aisee!!!!
Alafuuuu umejuaje kuna bubu hapo?? do u know em personally!??
 
Ahh, muda ulikuwa kidogo sana na nikajirudia Sikonge. Huenda nikawa hapo kwenu Dar mwaka huu katikati. Ntakuwa na kishughuli fulani ila baadaye ntakuwa na siku kama nne hivi za kukutana na Mafundi Mchundo wenzangu. Tuombe uzima.
Usharudi kitaa bila kuaga ndugu? Haipendezi namna hiyo fundi mchundo mwenzangu.
 
Ahh, muda ulikuwa kidogo sana na nikajirudia Sikonge. Huenda nikawa hapo kwenu Dar mwaka huu katikati. Ntakuwa na kishughuli fulani ila baadaye ntakuwa na siku kama nne hivi za kukutana na Mafundi Mchundo wenzangu. Tuombe uzima.
Tawile baba, na iwe hivyo kama ulivyosema baba.
 
Back
Top Bottom