Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
ntakununulia
wewe tu mi mbona moyo wangu mweupe.....najiandaa kuipokea zawadi yangu
ntakununulia
mambo mengine mashalaah........ila tatizo vitambi bana!!yaani sipendi sana mwanadada mwenye ka-friji aisee,utafikiri asprin babu yao watu humu,bana!!
unadhani tutafanyeje sasa? Bia tunakunywa, chips tunakula, supu na michemsho ndio zetu kwa sana
Kwiiiiikwiiiiikwiiiiiikwiiiiiiiiii! ndagha fijho bhakikulu bha nkajha loli moghile leka! safi sana wametokelezea chezea nyakyusa wewe![]()
![]()
![]()