Jamani kwanini Africa in particular Tanzania viongozi wanaingia madarakani na jamaa yake yote na marafiki? Je taifa hili na bara hili litaendelea kweli? kwani kiongozi akiweka wananchi wenye sifa, hao jamaa zao sii watafaidi pia pamoja na jamaa zake? kwanini mtu anakua na madaraka then anaanza kuangalia mkewe,Ndugu wa mke, watoto wake, na jamaa yake kwa ujumla kwa kuwapa vyeo? tutaondokana vipi na ugonjwa huu? mfano Kikwete amezungukwa na ndugu zake kila kona sasa mpaka walinzi ikulu????!!!