Africa most developed Countries on 2021

Africa most developed Countries on 2021

Kama ni on 2021 wako sahihi (ilikuwa ni utabiri) lakini kama ni in 2021 Tanzania tuko mbele sana na hatuko lockdown, kazi inaendelea.
On na in hata mimi kayumba primary nimeona tatizo pale ujue..
 
Hawa jamaa upo mwaka waliiweka Somalia juu yetu harafu wapo vitani nilicheka sana na mwaka 1997 waliiweka Malawi juu yetu daah si nikasema ngoja nipite kwenye Nchi tajiri nilikutana na balaa huko Lilongwe mji Mkuu watu wamechoka mno harafu wavaa ndala kibao nikarudi kumuuliza Mwalimu Bukubu mbona umesema Uchumi wa Malawi upo vizuri juu yetu wakati nimekuta wachimba chumvi kuzidi sisi ndio akanipa ka sentence ka on paper wao wapo juu ila ukija kwenye uhalisia sio kweli...Botswana mpaka kesho unaambiwa matajiri ila wanapata tabu kweli hata usafiri tuu ni shida watu wanategemea lift kutoka mji mmoja kwenda mji mwingine hizo bus kubwa zikijaaa...
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
Je nchi ya Uchumi wa kati kwani inakuaje tena.
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
Ila tena kuna hawa wanadai...
Screenshot_20210501-190228_Chrome.jpg

Screenshot_20210501-190241_Chrome.jpg
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
Tz ya magu iko wapi?
 
Kama hata Zambia wametushinda na hawana bandari wala natural resources kama sisi basi CCM ijidhamini kama wanatakiwa kuwa madarakani au la. Ukiangalia baadhi ya hizo nchi demokrasia ilichukua mkondo wake. Huku kwetu ccm imeminya demokrasia na matokeo yake ndiyo haya ya kutokuwa na maendeleo. Swala lingine ni ruswa na ubadhirifu wa mali za uma. Pesa nyingi ambazo zingetumika kwa maendeleo zimeishia mikononi mwa watu. As far as CCM will continue to rule this country don’t expect much in terms of development. Myself I have given up. Kinachoumiza kingine ni deni la taifa kuongezeka. Hii nayo inatia shaka kwa uogozi huu wa CCM. Wenyewe hata aibu hawana. Bado wanaona kama vile wamewafanyia watanzania kazi nzuri kumbe kila siku tuakwenda chini. Angalia sasa wameshindwa hata kuwaongezea mishahara wafanyakazi kwa miaka yote hii. Watanzania tuna safari ndefu.

Nimesoma sentensi yako ya kwanza na kukupa like. Idadi ya watu huwa ni sababu mojawapo ya kupandisha uchumi. Eti nchi yenye watu 21m inatushinda sisi wenye mara tatu yake! Huku sisi tukiwa na bahari, maziwa, mito mikubwa, gesi, dhahabu na almasi, mbuga za wanyama, tuna mipaka na nchi 8, hatuna majanga ya ukame, tuna ardhi yenye kuzalisha mazao yenye masoko huko duniani!! Lakini tuko tu na “uchumi wa kati” usioonekana kwa macho!!

Roho inaniuma sana!!
 
Mambo mawili naomba kuuliza kutoka kwa mwenye uzi wake.

1. Unaweza kutuwekea Link ya hizo data ili tuweze nasi kusoma, kuielewa na kijiridhisha.

2. Hii list ni projection au? maana ndo kwanza tumeimaliza a first quota ya 2021, how come wametoa hio list ht mwaka hujaisha?
 
Not on 2021 it is in 2021
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
 
Hahahaha watanzania bwana eti wanafurahi Tanzania kutokuwemo ahahaha,hawatumii hata akili kidogo,hivyi kwa Mswati ni developed watu wanaisha na maradhi ya kimaskini? Yaani hata Nigeria haimo kwenye nchi hizo halafu mnakenua meno Tanzania haimo.
kwa vigezo vyipi?
mnaamini kila kitu hata matango mwitu kisa mmeona USA hahaha.
 
🙄🙄🙄🙄kwan mabeberu wanasemaje..
hawausiki kwenye upangaji wa hyo orodha...?
Haya maneno yenye harufu ya ubaguzi wa rangi inabidi muyaache. Huwezi kumuita binadamu mwenzako beberu unless unakiri kuwa wewe ni mbuzi jike.
 
Hahahaha watanzania bwana eti wanafurahi Tanzania kutokuwemo ahahaha,hawatumii hata akili kidogo,hivyi kwa Mswati ni developed watu wanaisha na maradhi ya kimaskini? Yaani hata Nigeria haimo kwenye nchi hizo halafu mnakenua meno Tanzania haimo.
kwa vigezo vyipi?
mnaamini kila kitu hata matango mwitu kisa mmeona USA hahaha.
Kwanza ni vyema tukajua wametumia vigezo gani ili tujipime kama kweli kwa vigezo hivyo vilivyotumika Eswatini imeendelea zaidi yetu.
 
Haya maneno yenye harufu ya ubaguzi wa rangi inabidi muyaache. Huwezi kumuita binadamu mwenzako beberu unless unakiri kuwa wewe ni mbuzi jike.
🙄🙄🙄Sio bure, utakuwa umetumwa na mabeberu🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom