Africa most developed Countries on 2021

Africa most developed Countries on 2021

Huku sisi tukiwa na bahari, maziwa, mito mikubwa, gesi, dhahabu na almasi, mbuga za wanyama, tuna mipaka na nchi 8, hatuna majanga ya ukame, tuna ardhi yenye kuzalisha mazao yenye masoko huko duniani!! Lakini tuko tu na “uchumi wa kati” usioonekana kwa macho!!

Roho inaniuma sana!!
Roho ni lazima ikuume, na siyo wewe peke yako.

Hivyo vyote tulivyonavyo ulivyovitaja vipo, lakini hatuvitumii ili vitufaidishe.

Sana sana, eti tunasubiri watu kutoka nje waje watufanyie hivyo vyote, sisi tupo tupo tu na maneno yetu mengi!
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
Uhuni mtupu
 
Africa's Most Developed Countries on 2021

1. Mauritius (0.804)

2. Seychelles (0.796)

3. Algeria (0.748)

4. Tunisia (0.749)

5. Botswana (0.735)

6. Libya (0.724)

7. South Africa (0.709)

8. Egypt (0.707)

9. Gabon (0.703)

10. Morocco (0.686)

11. Capo Verde (0.665)

12. Namibia (0.646)

13. Sao Tome and Principe (0.625)

14. Eswatini(0.611)

15. Ghana (0.611)

16. Kenya (0.601)

17. Equatorial Guinea (0.592)

18. Zambia (0.584)

19. Angola (0.581)

20. Republic of
the Congo (0.574)

Source: 2021 United Nations Development Index
They can't be serious and genuine. Even the DRC is in this list but Tanzania isn't!
 
Back
Top Bottom