Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
Last edited by a moderator:
Eti masai dada ni kweli
Mkuu tuhamie Kampala angalau kwa wiki moja tu....hii ni hatari sana..hao sio mabinti, ni watu wazima wanawake wa uganda walikuwa wanapinga serikali kunyang'anya ardhi yao, inasemekana kuvua nguo na kufanya hivyo kiimani yao ya kitamaduni ni kuwalaani wanaofanya hivyo. natamani ningekuwa karibu na hao wamama, dawa ambayo ningewapa wangekuwa wanawahi kila siku kuja kuandamana maeneo hayo tena kwa foleni.
The mountain Lion...avata hapo juu imenichekesha sana..kha!Duuuhhh!
Hapo vitumbua vinabugia mchanga...
Marekani wanawake hawavai kanga.Umejuaje kuwa ni afrika na sio marekani?
...we jamaa acha vituko, marekani kuna barabara kama hii...??!!!
Inaelekea ulikimbia somo la Geography..topic ya photograph interpretation!
Wanafunzi wa chuo hao, wanalia lia "boom" halitoshi.
Hii nahisi ni Uganda
Wewe kama sii mtu wa chabo kwenye picha unakuja kufanya nini?VOYEUR OF THE HIGHEST ORDER WEWE!Picha hii imebeba habari nzito inayotakiwa tuijue, lakini mleta picha kachagua kutuwekea picha ili tuone maumbo na kuficha habari.Mleta picha ni voyeur/mpigachabo!