Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !, yapi hayo makubwa jinga mkuu?
Tayari Mali wanaongoza kwa goli moja, limefungwa na Bakary Sako. Hawa Ivory Coast bora hata wangemuita Kipre Tchetche pale mbele labda angefanya mambo.
Mmemuona kalusha bwalya? All ze bes zambie
Kweli zege halilali, maana hizi mechi zinachezwa pamoja, hivyo refa hawezi simamisha mpir, upande wa kule DRC wameshabalokota wenyewe mpira kunyavu.
Anayejua jamani, kama matokeo yakiisha hivi, Tunis watapita na nani?