South 1 2 Ghana
Algeria na Senegal wanapita, Algeria atakuwa na pointi sita, Senegal nne sawa na RSA lakini yeye atakuwa na zero goal difference wakti RSA atakuwa negative one, Ghana atawabeba wote kwa pointi zake tatu.
utamu wa nyama unapokaribia mfupa mechi hii ya S. Afrika na Ghana ilikuwa ya msisimko pamoja na kutolewa kwa S.Afrika.
Algeria hawakuanza vizuri pamoja na kuifunga S. Afrika mechi ya kwanza. Madogo wa Senegal waliziwa uzoefu. Sasa tuhamie upande ule wa BR wa Liverpool na MOUR, domo kaya wa Darajani.
HT Cameroon 0 Ivory Coast 1 .Guinea 1 Mali 0.
Hili kundi ni balaa, Mali na Guinea wamefungana moja moja hadi sasa, kama matokeo yakibaki hivi halafu na Cameroun na wasawazishe, hivi itakuwaje?
Watapiga kura kesho