Hili kundi si mchezo, cameroon au ivory coast nani kurudi mapema nyumbani!!!!Hili group balaa, timu zote mechi 2, point 2, goli 2, kufungwa 2!
Hizi timu unaweza fikiri zote zinafundishwa na kocha Patrick Phiri.Hili group balaa, timu zote mechi 2, point 2, goli 2, kufungwa 2!
Hizi timu unaweza fikiri zote zinafundishwa na kocha Patrick Phiri.
Hizi timu unaweza fikiri zote zinafundishwa na kocha Patrick Phiri.
Mkuu vipi tena? Unamaanisha Phiri yule yule aliyemaliza msimu fulani bila kufungwa kisha akarejea kuifundisha timu ile ile na kucheza michezo 6, kutoa sare 6, point 6, magoli 6 ya kufunga na magoli 6 ya kufungwa?

Utakua shabiki wa simba ehh au man u au liverpoolNaona rangi za kijani au njano ktk jezi za timu za AFCON 2015 zinaonewa sana na timu za rangi nyekundu au nyeupe! Sijui kwa nini!!