Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Dak 46, South Africa 1-0 Senegal. mfungaji ni Matthews Oupa Manyisa.
 
RSA wana tatizo la makipa ... juzi kipa mzungu aliwafungisha, huyu naye leo anafanya schoolboy mistake ya kutokaa kwenye goal line
 
Leo makubwa jinga yanaingia tena uwanjani, kila la Heri Mali mtuondolee hii kero...
 
Leo makubwa jinga yanaingia tena uwanjani, kila la Heri Mali mtuondolee hii kero...

Tayari Mali wanaongoza kwa goli moja, limefungwa na Bakary Sako. Hawa Ivory Coast bora hata wangemuita Kipre Tchetche pale mbele labda angefanya mambo.
 
Hawa jamaa wa West Africa wana vipaji sana, kiukweli sisi huku East Africa tutasubiri sana, angalia yule Mmali anayechezea klabu ya Sudan alivyo na kipaji lakini hayupo. Kina Tchetche na ndugu yake walivyo na kipaji lakini hata kuitwa tu hakuna.
 
Huyu refa naye anaharibu sasa, beki mmoja wa Ivory Coast karudisha mpira kwa goli kipa wake kwa kichwa na golikipa kuudaka matokeo yake refa kawapa Mali free kick ndani ya penalty box.
 
Hapa beki wa Ivory Coast ameshindwa kutafsiri sheria ama kwa kutojua. Amecontrol mpira kwa mguu na hapo hapo akaurudisha kwa kichwa kwa golikipa wake. Golikipa nae akaudaka na kuwa indirect free kick kwani ukiugusa mpira zaidi ya mara moja kwenye box na kuurudisha kwa kipa inakuwa back pass,bila kujali kwamba mara ya mwisho umetoa pasi ya kichwa.
 
Back
Top Bottom