Kweli mkuu. Naye alikuta wanaume wameweka mtego, akaingia kwenye mtego akiwa na gari sawa na la yule aliyewekewa mtego. Labda angetumia gari la kazini angetambuliwa na wategaji na mauti yasingemfika.Safi sana Burlow alichotetea kwa askari wake ndicho kilichompata!! Jina la Mungu ni kubwa sana. Na bado wengi vigongo mpo, mmesikia hayo? Jiandaeni!!!
jamaa alitoka nduki,akawafungulie kesi pambafu hao.