TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

The late Eng. Leonard Saasita Kapongo tumempa heshima zake za mwisho na tumemstili kisiwani kome kijiji cha LUGATA wilaya ya buchosa mkoa wa MWANZA leo saa saba mchana saa za Afrika mashariki.
Bwana ametoa, bwana ametwaa. Mwanga wa milele umpe eee bwana....
 
Back
Top Bottom