hawa watu wa HAI sasa wanazidi kwa majunguMwalimu hata uandishi wako unatia mashaka.
Kama kweli mwalimu unaandika hivi. Je watoto wetu unawafundishaje?
Kuna haja ya kuwachunguza hata walimu wa aina yako. Lazima na wewe ni tatizo.
Huwa nasikitika sana na kuwahurumia watoto nikiona walimu wa aina yako, uandishi wako tu unaonesha hauko makini na shughuli zako.
Binafsi natilia shaka malalamiko yako baada ya kushindwa kujibu hoja za wachangiaji wanaoonesha kumfahamu vema huyo afisa elimu.
Kama hoja yako ni ya kweli mbona huelezei mazingira ya kuonesha uhalisia wa tuhuma zako.
Ndugu Imma Kimaro na Zakayo Mosha inaonesha wanamfahamu huyo afisa na wameomba justification lakini unazunguka zunguka tu kujustify.
Wewe utakuwa na mgogoro binafsi na unataka kumchafua huyo afisa.
upo sahihi kabisaPole mkuu hiyo wilaya inamatatizo sana toka miaka ya 2011 Undugu umejaa huko
Hawa ni mamluki wamewekwa kujibu maovu mtandaoni.siha idara ya elimu,na afisa elimu wako wote ni shida. Hakuna viongozi anayejali taifa LA kesho,elimu bure huku bado haijatusaidia.watoto wanafika darasa LA saba hawajui kuandika wala kusoma.hakuna semina za kimasomo kwa walimu,majengo yamechakaa,vyoo hakuna,walimu hapa kwetu tupo watano,shule INA wanafunzi 456, chakula cha watoto ni shida,pesa za likizo shida,afisa elimu tukimweza ili afuatilie anasema yeye sio mkurugenzi Wa Halmashauri. Haya basi andika basi haya matatizo uyatume pengine anasema kila MTU apambane na hali yake.Tunamuomba Rais Wetu atusaidie kuwapanga wakuu Wa idara za elimu kama anavyowapanga wakuu Wa wilaya,days nakadhalika itasaidia sana,walioko walipangwa na iliyokuwa tamisemi ya miaka ya serikali iliyopita ambapo ulikuwa unatuma mzigo Dodoma unapewa cheo.hawa watu wa HAI sasa wanazidi kwa majungu
ukiangalia Mada nzima ni watu wawili au watatu wanachangia Mada kwa kumjibu Kibogoyo
huenda huyo afisa Elimuanasaidiwa au anawalipa IMMA KIMARO na Zakayo Mosha
kifupi UALIMU wa shule za msingi ni wa akili za ktoto, kwanini wasitafute kazi nyingine kuliko kushida kwenye mitandao na kuacha kusahihisha madaftari?
HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya
nashauri Afisa Elimu ahamishwe si lazima ang'ang'anie Hai aende hata Rombo ili hapo Hai awaachie hao Wachagga
Wewe ni mamluki ,tutatapiga kelele sana .siha kuna shida ya uongozi Wa elimu ngaxi ya elimu msingi.weka CV ya afisa elimu Halmashauri ya wilaya ya siha hapa.kama haitafanana na CV ya afisa elimu msingi wilaya ya ngorongoro.Naomba tujadili mambo ya maendeleo tuache majungu.
Aliyetuma post ya kumchafua afisa elimu msingi ni mwalimu aliyekuwa Siha lakini akahama na baadaye amefukuzwa kazi kwa mambo yake binafsi ila bado yupo mkoa wa Kilimanjaro lakini kwa Sasa afanyi kazi tena ame. Weka CV hapa.huku kwetu waliokuwa na vyeti vyeki na kufoji waliokuwa wengi .sisi tuliokazi na vyeti original tunaona siha kuna shida ya uongozi.afisa elimu wetu ni shida
Njoo Rosiline na ,naibili , tindigani nagararagua shule za msingi.uone uovu.usipoteze mada.walimu hapa tuna shida na uongozi unajua haufuatii.huko unakosema Mara alihama Mara alifukuzwa inatuhusu nini Nia yetu ni kuboresha elimu ndani ya wilaya yetu.aliyefukuzwa akafe zake hayo hayatuhusu.ukisema uongozi mbovu ,umekose nini.njoo huku uone ninayoyasemaNaomba wadau tumshauri na kumwelimisha mjinga huyu hadi atakapobadilika na kuwa na tabia za kibinadamu.
Sijajua kama wewe ni mwalimu mwenzetu.njoo shule niliyoko uone matatizo tuliyonayo.walimu yuko imara ni kweli wanafunzi wako imara? Ninadhani wewe ni yule mtaaluma Wa wilaya uliyekukuwa anawatukana walimu .waonee watoto hurumana walimu wenzako pia.Walimu Wa Siha tupo imara na tunaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa hatuna mda wa kujadili mambo yasiyo na tija