Afisa afya nimetinga!

wana JF japo nilikuwa memba kwa muda mrefu sasa nimerudi kwa kishindo!
Niesogeza masikio yangu hadi kwenye Speaker, lkn kishindo hakisikiki! Au unasema kishindo gani? Au kishindo cha ukimya?
Karibu tulonge mwaya
 
Back
Top Bottom