AFCON Group C: Uganda vs Tanzania, Desemba 27, 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.

Matokeo bado ni 0-0.

Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.

Kila la kheri kwao

 
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe. Matokeo bado ni 0-0.

 
Hii game tunashinda
 
msiopenda mjiandae tu
 
Bacca na Mwamnyeto wasipofanya yale makosa yao ya kila siku, tutashinda
 
Leo samatta anafunga255
 
samatta akimbize sasa na sio kurudi kukaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…