Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027.
Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akiambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia.