AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Dakika ya 2, Adomah anapoteza nafasi ya wazi kuindikia Ghana goli la pili
 
Mpira ulitoka kona, na kona imezaa matunda...dakika ya 4, Asamoah anaweka goli la PILI
 
Naam .. kweli mechi tamu (for neutrals). Leo naona hata mizungu inasifu sana mpira wa Africa/tofauti na jana!
 
Yule kipa anae shangilia kwa makalio yupo?
 
Back
Top Bottom