AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Mechi ya kwanza leo ni: Ghana vs DRC
Utabiri wangu: Ghana atashinda kwa moja bila, wengine mnaweza toa ubashiri wenu!
Kumbuka ni hapo saa 17.45
 
Ndg zangu mimi cjaelewa haya mashindano yanafanyika baada ya miaka mingapi.? Mwaka jana 2012 cyalifanyika kwa ubia kati ya mali na equteria guine na bingwa akawa Zambia.! Na huko nyuma yalikuwa yakifanyika baada ya miaka miwili? Haya mabadiliko yamesababishwa na nini? Michuano hii kwa sasa itakuwa inafanyika baada ya miaka miaka mingapi? Nijuzeni wadau.
 
Matokeo ya jana
1. South africa vs cape verde, 0-0
2. Angola vs morocco, 0-0

Ahsante sana mkuu,

Mimi pia nilishindwa kusubiri mechi ya pili....Naomba Mphamvu au mod watusaidie kwa kuweka fixtures zote kwenye post ya kwanza na pia matokeo yote. Hii itasaidia wale ambao wanashindwa kuangalia live kupata matokeo.

Pia kama inawezekan, hiyo post ya kwanza inaweza kuwa na key updates.

Mkuu Invisible unaweza kutusaidia kwenye hili??
 
Last edited by a moderator:
hebu wekeni waz gem linaanza saa 11,12 au saa 1 Jion maana hapo juu wameandika saa 1 Mdau mmoja nae ktk post yake anadai ni 11:45 uhalisia uko wp?
 
Ndg zangu mimi cjaelewa haya mashindano yanafanyika baada ya miaka mingapi.? Mwaka jana 2012 cyalifanyika kwa ubia kati ya mali na equteria guine na bingwa akawa Zambia.! Na huko nyuma yalikuwa yakifanyika baada ya miaka miwili? Haya mabadiliko yamesababishwa na nini? Michuano hii kwa sasa itakuwa inafanyika baada ya miaka miaka mingapi? Nijuzeni wadau.
Mashindano haya yalibadilishwa ili isije ikatokea inakuta mwaka mmoja na kombe la dunia!
 
Naona leo hapa hapatikani mtu sie wa kungalia kwenye ma bar tumezidiwa na mechi za ulaya! Haya anaeangalia afcon atupe updates! Miafrika ndo tulivyo; nyani ngabu
 
Nimezidiwa hapa tunepambana tumeshindana kutoa dau tuangalie afcon dah wadau wa ulaya wamenizidi
 
Hapa nilipo naangalia mpambano wa chelsea vs arsenal,ila kuna scren ingine inaonyesha Afcon. Sasa ni uchambuzi namwona Samwel Kufour na wachambuzi wengine. Mechi ni kati ya Ghana vs Congo (DRC)...,
 
Hapa nilipo naangalia mpambano wa chelsea vs arsenal,ila kuna scren ingine inaonyesha Afcon. Sasa ni uchambuzi namwona Samwel Kufour na wachambuzi wengine. Mechi ni kati ya Ghana vs Congo (DRC)...,
Mechi imeanza au bado?
 
Samahani wadau....nitajitahi leo kuwa macho kwa mechi zote mbili. Basi tukutane kwa mechi ya kwanza leo hapo saa 17.45

Haupo Tena na Game hapa ndio linataka kuanza DRC vs Ghana

Usipende kuomba omba Mshamaha hata Ukikosea Au Hujajifunza Kutoka kwa CCM?
 
Ghana wanapata kona dakika ya 8...Inapigwa na wanapoteza! Mpira bado ktulia
 
Back
Top Bottom