Thanks Mamiee aah leo hawajacheza kama nusu fainali hongera zao lakini wameweka historia ya kuingia fainali kwa mara ya kwanza
Wenger kanifundisha kuhimili presha...sasa imeanza kuwa 'hobby' yangu.Eti wewe mshabiki wa arsenal halafu unajiongezea presha kwa kushabikia burkina faso!poleni sana
Wenger kanifundisha kuhimili presha...sasa imeanza kuwa 'hobby' yangu.