saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
Dakika ya 12, Loa loa (wa DRC)...anapiga shuti linagonga mwamba wa juu!
DRC wanashinda leo.Ghana wanapata kona dakika ya 8...Inapigwa na wanapoteza! Mpira bado ktulia
Katavi, nawapenda Ghana ila kama mechi itakwenda hivi ni dhahiri DRC watashindaDRC wanashinda leo.