saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
half time, score boar 0-0
Tayari Zuma keshafungua, anasalimiana na players.
nilikuwa etihad ngoja nirudi soccer city updates please..
SA weupe tu sawa na taifa stars yetu.!
ZUKU hawaonyeshi, wanayo inaitwa Eurosports News.Akina nani hawaonyeshi? Zuku hawana Eurosport channel au wanayo lakini Eurosport hawaonyeshi mechi?
Wabongo jamani, Maximo alikuwa anabondwa vile eti leo anasemwa alitengeneza timu bora zaidi ya Bafana???:A S angry:Tena ile Stars ya Maximo ilikuwa bora zaidi ya Bafana!
Huko etihad mmeua?nilikuwa etihad ngoja nirudi soccer city updates please..
EUROSPORT nazo ziko nyingi.....Labda wasiliana na customer care wako kama inawezekana, ila kwa ulaya mechi ni live katika EUROSPORTZUKU hawaonyeshi, wanayo inaitwa Eurosports News.
Huko etihad mmeua?
South hakuna kitu kabisa, wataaga mashindano mapema wasipokuwa makini.hii gemu naona south wanakufa..