AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Kuna wachezaji wa CV wanaomba wimbo wa taifa kisanii sana!
 
Nyimbo za taifa zinaimbwa.

Huu wimbo wa Afrika Kusini unapoanza kama una sound kama wa Tanzania vile.
 
Match inaanza sasa

Looking forward kama ataweza kufunga tena goli kama hili.

Huwa nikiangalia hii video nasisimka. This beatiful game!

 
Last edited by a moderator:
Nyimbo za taifa zinaimbwa.

Huu wimbo wa Afrika Kusini unapoanza kama una sound kama wa Tanzania vile.

Umesahau mkuu kwamba tulifanya kucopy kisha tukabadilisha kidogo?

Hata wa Zambia uko kwenye hiyo tune!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kumbe kipute ni mida hii? Nilidhani saa 4 usiku.
 
Mpira haujatulia, wachezaji wanacheza kwa kubutua hovyo.
 
Mkuu EMT,
Zuku wana chanel ya Europort pia haionyeshi hiyo mechi ukiwa TZ?

Eurosport ipi? Zipo nyingi.

Nahisi kama wana Eurosport basi watakuwa na Eurosport International ambayo nadhani watakuwa wanaonyesha.
 
Back
Top Bottom