EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Mpira haujatulia, wachezaji wanacheza kwa kubutua hovyo.
Hivi capacity ya huu uwanja ni watu wangapi?
Kama kuna magepu vile?
Mpira haujatulia, wachezaji wanacheza kwa kubutua hovyo.
Mpira haujatulia, wachezaji wanacheza kwa kubutua hovyo.
Hivi capacity ya huu uwanja ni watu wangapi?
Kama kuna magepu vile?
mpema mkuu tuwape muda.!
Hivi capacity ya huu uwanja ni watu wangapi?
Kama kuna magepu vile?
hawaonyeshi.Eurosport ipi? Zipo nyingi.
Nahisi kama wana Eurosport basi watakuwa na Eurosport International ambayo nadhani watakuwa wanaonyesha.
Wanaonesha. Link ya supersport kwa gemu hii ni hii hapahawaonyeshi.
Hawa south africa wanaweza kuishia hapa kwenye makundi.Jamani, south africa ni wa kawaida mnooo....labda ndiyo maana yanga anaweza funga timu yao ya nafasi ya 11 katika ligi ya timu 16!!!
Phala....linatamkwaje hili!duuuh....Phala kakosa bao la wazi dakika ya 32
hawaonyeshi.