MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,710
- 1,660
vipi MATOKEO??
Kama ipo ipo tu! Ataachia tu we ngojaRefa ameshaamua nani aingie final
Aibu sana
Mkuu unaangalia ama? Kipa aliguswa wapi pale?alimchezea vibaya kipa.!
Bado moja moja mzeeBAO ngapi
Yaani acha tu! Bukinabe wakitoka watalia sanaHahahaha wanakoswakoswa vibaya mno sana